Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi


Umenena kweli kabisa,vijana wengi ni wabahili lakini wanapenda vitu vizuri,wakiombwa hela kidogo tu maneno kibao yanawatoka,wanaanza kumwita huyo mwanamke ni mpenda pesa, kumbe wapi ni ubahili na uchovu wao tu,vijana msione vinaelea vimeundwa,Tafuteni pesa vijana vizuri ni vingi vinawasubiri.
 

Sio wabahili, ndio wanaanza kutafuta, sasa kama wataanza kununua iPhone wakati yeye anaishi kwenye chumba mtafika kweli. Ni kumkubali mtu kwa hali yake.
 
Makuta wewe ni -ke au -Me??Maana issue umeipokea kwa mikono miwili na kuongea kwa msisitizo sana
 
Dah! watu wengine mna majibu jamani,yaani imenibidi nicheke tu,manake jibu lenyewe lina ukweli kabisa .
Mbona hili sio jibu?Haya ni maelezo tu ya mchango wa hii "thread"...Wewe unaonekana Mama wa "kudanga" sana...Bado hujamfumo babu mfogo wa town,inaonekana utamkamua mpaka mashost wakome Makuta

Mtaani kila mtu mbona atakutambua?Amka ukaanike madela,jana hayakukauka yalinyeshewa na mvua
 
Sio wabahili, ndio wanaanza kutafuta, sasa kama wataanza kununua iPhone wakati yeye anaishi kwenye chumba mtafika kweli. Ni kumkubali mtu kwa hali yake.
Huyu Makuta inaonekana mtu wa kudanga sana Sky Eclat ,chekk tu mchango wake kwenye hii thread
 
Inaelekea kuna mahali "ulisuguliwa" kwa mkopo,mtu kakukopa kakuachia buku jero ya nauli,maana si kaa lawama hizi...Pole sana Diva Beyonce

Ngoja tukutafutie Mzee mmoja wa Kikinga kule Njombe ukapulizwe na noti za Mkinga
Mbona umeshikwa hasira kwani vepe.....
 
Mkeo akichepuka na wewe una hela unafanyaje mkuu.

Huyu K-Lily ni mke halali wa Mengi, wamefunga ndoa kabisa sio mchepuko
yule mke wakewakwanza mama mtu mzima yule yupo wapi? nlikua namfaham
 
Sio wabahili, ndio wanaanza kutafuta, sasa kama wataanza kununua iPhone wakati yeye anaishi kwenye chumba mtafika kweli. Ni kumkubali mtu kwa hali yake.
Hayo ya kumkubali mtu kwa hali siku hizi yamepungua sana dadangu,mambo ya sasa ni tofauti,na isitoshe sidhani kama kuna mtu atakwambia umnunulie iphone wakati anaona wewe unatumia techno,msichana atakwambia anataka simu nzuri au gari ni kutokana na vile utakavyo muaproach na yeye ndivyo atakavyo kuletea matakwa yake,after all, kwani nini uwe bahili kwa demu wako? kama unaanza kutafuta maisha ,basi tafuta maisha kwanza, na habari ya mademu wakali baadae.
 

Umpate muelewa pia, pamoja na kuwa inabidi umgharamie lakini wema usizidi uwezo. Wanawake wengine wanapenda tu ule uwepo wako kwake, of course akiwa na shida unaweza kusaidia lakini mwanaume asiwe ATM.
 
Makuta wewe ni -ke au -Me??Maana issue umeipokea kwa mikono miwili na kuongea kwa msisitizo sana
Barafu,mimi ni mwanaume ,nimeipokea hii stori kwa sababu vijana wengi siku hizi wanataka mambo yanayowazidi uwezo inabidi watafute pesa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…