fredj2
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 235
- 93
hahahahahaha wanaume wa dar unawasema??Sasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha wanaume wa dar unawasema??Sasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
Vijana tutafuteni pesa uzee una shombo mbaya kama unakuwa apeche alolo sasa kama anakuja na kutoa prado ya ghafla bint anashangaa sasa baby umeninunulia gari nitapaki wapi?mzee ana jibu hata kwenye viwanja vya CCM.
Huku kijana ukiambiwa ununue iPhone unalalamika mademu wanapenda anasa.Vitaendelea kutunyanyasa hivi vibabu mpaka jasho litutoke tutafute pesa jamani.
Dah! watu wengine mna majibu jamani,yaani imenibidi nicheke tu,manake jibu lenyewe lina ukweli kabisa .Sasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
Acha ushamba kaka, mke wa Donald Trump unamfaham? Hiyo mbona fasheni kwa mafogo we unaona ajabukweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Umenena kweli kabisa,vijana wengi ni wabahili lakini wanapenda vitu vizuri,wakiombwa hela kidogo tu maneno kibao yanawatoka,wanaanza kumwita huyo mwanamke ni mpenda pesa, kumbe wapi ni ubahili na uchovu wao tu,vijana msione vinaelea vimeundwa,Tafuteni pesa vijana vizuri ni vingi vinawasubiri.
Bongo kwa story za mitaani kila mtu kaungua, hata wewe mtaani wanasema umeungua kila mtu anajua hilo wewe tu ndiyo hujasikia.Hivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
Makuta wewe ni -ke au -Me??Maana issue umeipokea kwa mikono miwili na kuongea kwa msisitizo sanaUmenena kweli kabisa,vijana wengi ni wabahili lakini wanapenda vitu vizuri,wakiombwa hela kidogo tu maneno kibao yanawatoka,wanaanza kumwita huyo mwanamke ni mpenda pesa, kumbe wapi ni ubahili na uchovu wao tu,vijana msione vinaelea vimeundwa,Tafuteni pesa vijana vizuri ni vingi vinawasubiri.
Mbona hili sio jibu?Haya ni maelezo tu ya mchango wa hii "thread"...Wewe unaonekana Mama wa "kudanga" sana...Bado hujamfumo babu mfogo wa town,inaonekana utamkamua mpaka mashost wakome MakutaDah! watu wengine mna majibu jamani,yaani imenibidi nicheke tu,manake jibu lenyewe lina ukweli kabisa .
Inaelekea kuna mahali "ulisuguliwa" kwa mkopo,mtu kakukopa kakuachia buku jero ya nauli,maana si kaa lawama hizi...Pole sana Diva BeyonceVijana ni jipu kabisa aisee sasa mtabaki kula kwa macho
Mbona umeshikwa hasira kwani vepe.....Inaelekea kuna mahali "ulisuguliwa" kwa mkopo,mtu kakukopa kakuachia buku jero ya nauli,maana si kaa lawama hizi...Pole sana Diva Beyonce
Ngoja tukutafutie Mzee mmoja wa Kikinga kule Njombe ukapulizwe na noti za Mkinga
Hahahaha dah nimecheka sanaaaHivi wakati Mzee akimvua nguo akabakia mtupu wa nyama hako kabinti kanaweza kuukodolea macho 'mtulinga' wa huyo babu? Sipati picha!
yule mke wakewakwanza mama mtu mzima yule yupo wapi? nlikua namfahamMkeo akichepuka na wewe una hela unafanyaje mkuu.
Huyu K-Lily ni mke halali wa Mengi, wamefunga ndoa kabisa sio mchepuko
Hayo ya kumkubali mtu kwa hali siku hizi yamepungua sana dadangu,mambo ya sasa ni tofauti,na isitoshe sidhani kama kuna mtu atakwambia umnunulie iphone wakati anaona wewe unatumia techno,msichana atakwambia anataka simu nzuri au gari ni kutokana na vile utakavyo muaproach na yeye ndivyo atakavyo kuletea matakwa yake,after all, kwani nini uwe bahili kwa demu wako? kama unaanza kutafuta maisha ,basi tafuta maisha kwanza, na habari ya mademu wakali baadae.Sio wabahili, ndio wanaanza kutafuta, sasa kama wataanza kununua iPhone wakati yeye anaishi kwenye chumba mtafika kweli. Ni kumkubali mtu kwa hali yake.
Hayo ya kumkubali mtu kwa hali siku hizi yamepungua sana dadangu,mambo ya sasa ni tofauti,na isitoshe sidhani kama kuna mtu atakwambia umnunulie iphone wakati anaona wewe unatumia techno,msichana atakwambia anataka simu nzuri au gari ni kutokana na vile utakavyo muaproach na yeye ndivyo atakavyo kuletea matakwa yake,after all, kwani nini uwe bahili kwa demu wako? kama unaanza kutafuta maisha ,basi tafuta maisha kwanza, na habari ya mademu wakali baadae.
Barafu,mimi ni mwanaume ,nimeipokea hii stori kwa sababu vijana wengi siku hizi wanataka mambo yanayowazidi uwezo inabidi watafute pesa kwanza.Makuta wewe ni -ke au -Me??Maana issue umeipokea kwa mikono miwili na kuongea kwa msisitizo sana