Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haelewi huyo ujue ukikaa na mwanamke mda mrefu anafanya anachojisikia ila ntuyabaliwe kafuata pesa tu 6kwa 6 sijui kama mzee anajiwezamkewe alimsaliti,wacha afutwe machungu na mutoto
Haelewi huyo ujue ukikaa na mwanamke mda mrefu anafanya anachojisikia ila ntuyabaliwe kafuata pesa tu 6kwa 6 sijui kama mzee anajiweza
Hazeeki maini ndio kwenye kuzalisha tu ila kule kumridhisha sijuihahahahahahahahaha si mnasemaga mwanaume hazeeki maini AU?
Hazeeki maini ndio kwenye kuzalisha tu ila kule kumridhisha sijui
JE NA WEWE NI MMOJAWAPO KATI YA VITU VIZURI VINAVYOTUSUBIRIA?..SEMA MAMAA NIONGEZE KASI YA KUTAFUTA MZIGO....JUST FOR YOU BABY GIRLLL.
Mama wa kimachame,siyo gold deeger,bali anajua kuzitafuta faranga kwa mikono yake mwenyeweYupo anasali Azania Front ELCT kuna wakati alikuwa mzee wa kanisa. Yuko beautiful kinoma na mama wa Pamba Kali!
Shida ipo wapiHivi wakati Mzee akimvua nguo akabakia mtupu wa nyama hako kabinti kanaweza kuukodolea macho 'mtulinga' wa huyo babu? Sipati picha!
wivu,Shida ipo wapi
kampe akutest then leta majibu hapa JFana umri gani huyu babu mengi anazaa kabisa na katoto ka 78
Kuungua sina uhakika sema anamatatizo ya magotiHivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
Yupo ila atafanyaje ss kuna siku alienda kinondoni pale akasema mbovu sana but mwisho Wa siku Mzee kashaamuaHivi mama Mengi original yupo wapi?
Yupo mlutheri Wa watu afanyejeyule mke wakewakwanza mama mtu mzima yule yupo wapi? nlikua namfaham
Klyn alimuacha mzungu six pack anafanya mazoezi kila siku na nje kafunga punching bag ya kisasa chezea pesa weweSasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs