Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Mimi sidhani kwamba watz wote ni wapumbavu na malofa.pamoja nakubaliana na hoja hapo juu;naweza kusema watz wamekuwa wapole kwa muda mrefu kujiaminisha ccm ndio chama cha wanyonge wakati sio kweli.

Wale waliokwisha ona maono bdabi ya CCm wanataka mabadiliko. Na aliyewashtua wengine ni uongozi mbovu wa kikwete. Watu ndani ya CCM wameamka sema hawana ubavu kutoka. Viongozi wengi pale wako kimwili sio kusema wako ukawa ila hawakubaliani na mambo yanayofanywa na wachache ndani ya chama. Chama kimekuwa cha wahuni,dini,familia nk.

Lakni tuwaachie watz ndio watako amua kama bado wanataka kuwa misukule.ila bottom line nchi inahitaji mabadiliko.
 

 
Lofa inafahamika ni hohehahe yaani asiye na kitu. Malofa wengi walikuwepo jangwani hawakuwa nauli wakalazimika kubebwa na mabasi na malori kupelekwa pale. Wamepewa fulana na kofia bure hao ndio malofa.
 
Mkapa kweli ni mpunbavu na lofa, Tanzania imepata uhuru ila bado haijakombolewa toka kwenye sera za kijinga za TANU/CCM na ndiyo maana wananchi wake hawajitambui mpaka wanachekwa na majirani. Mkapa lazima aseme haya kwani anajihofu maana ni mwizi kinoma na anastahili kunyongwa tu.
 
Labda asije huku kumfanyia kampeini Pombe,akija tu nasi tutamzomea na kumpiga mawe kwani huyo Mkapa ni mwizi na kibaka mzoefu.Tutamchoma moto kama vibaka wengine.Na akumbuke ailivyofunja ofisi Makerere na kuiba mitihani.
 
Sikujua kama nchi hii kuna watu wapumbavu kawa wewe uliyeanzisha uzi huu. Usidhani kuwa sisi ni wapumbavu kama wewe na hatuna kumbukumbu, picha hizi nyingi ni miaka kati ya 15-20 iliyopita.
 
Ndio maana nasemaje hauwezi kuushinda umaskini na ujinga bila kuipiga vita ccm kwanza
 
Hivyo vyama ni vya watu wa Malawi?
 
Hali ni mbaya nimefanya kazi maeneo ya shinyanga vijijini hali ni mbaya kuliko picha zilivyoonyeshwa hapo juu hatutaki propaganda za miaka 15 iliyopita lets talk fact jamani
 
Last edited by a moderator:
Hata we uliyepost ni lofa na mpumbavu!chama kinaundwa na kina Nani??kinaundwa na watu ,na hao watu wana familia na marafki na hao marafiki zao wana marafiki ,mwisho wa siku tunakuwa na jamii nzima ya watanzania wanaotaka mabadiliko ndio wapumbav na malofa ...,..unaposema hakusema watanzania alisema chama una maanisha nn??
 
Wewe uliyeleta mada hujui kuwa chama ni muunganiko wa watu?


Kwa jibu sahihi hakuna chama kisicho na watu....hence watukanwaji ni-watu.




Kwanini unataka kuuficha ukweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…