Hiyo nzuri sana hata wafiwa hawapati gharama za mavyakula sijui vinywajiMzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Wewe unadhani hiyo hali itabadilisha nini, everything in this universe is all about trading.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli zakutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu..
Bahati mbaya hata watoto wake walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Kabisa mkuu japo ujamaa na udugu kwenye jamii yetu ni kitu kizuri ila nongwa zikizidi ni kuwapotezea tu wala haina madhara kama nikuzikwa mtu lazima azikwe tuHakika
Kwa jinsi walivyokosa ustaarabu wasipokuja ndio vizuri......
Wengine wachawi wanaokota nyayo za watu......
Waafrika tunapenda misiba kuliko tunavyopenda watu hai.Ila ni sawa tu maana wasioenda wamewapunguzia gharama wafiwa. Kama familia inajiweza kiasi hapo ni kununua tu jeneza, wakodi watu wachache wa kusaidia kuzika makaburini, siku imeisha.
Huwa tunacomplicate sana misiba
Nimemuuliza hivo hivo mkuuWewe unadhani hiyo hali itabadilisha nini, everything in this universe is all about trading.
Niambie kwani atapata hasara Gani ama nyie mtafaidika nini, acha mtu aishi Maisha yake aliyoyachagua kwani unadhani yeye hakuwa na akili ama hakuyajua haya , binadamu tunafanya kitu huku tukijua outcome,mtu anaenda kuiba anajua ni nini kitakachomtokea , mtu anatoka na mke wa mtu ama mwanafunzi anajua kabisa, so usidhani Kama wewe una akili sana kuliko binadamu wengine, just live your life, kwani zengwe inasaidia nini? Kuna kampuni za kuzika zinakuja zipo ulaya na huku zipo, chukua mzoga mochwari kazikeni kwani kumuenzi marehemu kuwa ndio mnapata baraka Gani ama mnapoteza nini , ama yeye pia ananufaika nini ama amepoteza. Afrika bana inabidi utoe salamu usipotoa unaringa, masikini anataka kufarijiwa kwa kupewa human company, jiulize why diamond alihamia masaki
Arobaini this Arobaini that, waswahili wanapenda shughuli kwenye kila jamboSio misiba tu ndugu, Watanzania tunacomplicate ubatizo, kutahiri kijana wa kiume, kuvunja ungo kwa binti, kipaimara,komunio, mahafali, birthdays, sikukuu, kuagwa kwa mabinti wanaoenda kuolewa na ndoa.
Kiujumla, ni Tanzania pekee kila jambo limtokealo mtu linatafutiwa sherehe.
Homie rafiki yako?, damn sijui ka una elewa maana ya urafiki.Kuna rafiki yangu naye yupo hivyo hivi kafiwa na mama yake jana usiku na mimi nimekausha kama sijui kitu
Mm ndio napenda hivyo misiba isiwe na mambo mengi watu wachache mambo yanaisha faster ata msiba wangu natamani usiwe na lundo la wanafki yaani ndugu wachache tu inatosha kabisa.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake mke pia walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Hii stori inakuja kufanana kidogo sana na hii yangu ambayo niliishugudia.
Hii imenikumbusha mwaka 2019 nilihudhuria msiba wa babu huko Musoma kijijini cha Nyabange Wilaya ya Butiama. Nzengo walikuja kama kawaida wakashughulika kila kitu wakaandaa, lilipofika suala la kula kile chakula wakaitana baadae nikaona kila mtu anaenda kwake, kila kitu walicho andaa walikiacha kama kilivyo tukabakia ndugu tu.
Wakasema, mjomba ambae ndio msiba ulikuwa umepangwa hakuwa anakula kwenye misiba na yeye alikuwa anachangia tu. Na mke wake alikuwa anakuja kupika na kuondoka kula hawali wala hawakai kwenye msiba wa nzengo. Waligoma kabisa, sasa chakula walichokuwa wameandaa nikama sisi ndugu tusingekimaliza hata kama tungekula siku 2 bado kingebaki kingi tu. Ikabidi ndugu waitane na wakaongee na wazee mjomba akapigwa faini ya mbuzi ndio wakaja kushiriki.
Toka hapo mjomba hajawahi kuacha kuhudhuria misiba anakwambia nilichokiona sikuile ni fedheha hata kama unauwezo ile ni mbaya sana.
Unakuta mtu anaenda msibani siku zote na anakaa huko kuanzia chai, lunch hadi chakula cha jioni. Hapo unamfariji vipi mfiwa, na mchango ametoa buku mbiliWaafrika tunapenda misiba kuliko tunavyopenda watu hai.
Huku kwetu vijana wamejaa msibani kusubiri msosi, kazi yao ni kucheza karata na hakuna la maana wanalofanyaHao wanaojaa kwenye misiba hasa huku uswahili hata ukiwachangisha wote upati pesa ya kulipia tent siku mbili.
Wameipunguzia gharama familia hio,unadhani wangetumia gharama kiasi gani kulisha watu msibani
Ni mbea piaMleta mada namfananisha na wapumbavu fulani wanasemaga usiposhiriki jumuiya, kanisani na kutoa zaka hatuji kukuzika 🤣🤣🤣
Yani wanajiona wajanja sana kumbe kumbe wangejua ninavyowadharau wasingeamini