Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Hakuna mfi akosae mzishiLa maana azikwe, hakuna mwili wa binadamu unaobaki juu ya ardhi. Hata kama hakuna kiongozi wa dini, azikwe kimila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mfi akosae mzishiLa maana azikwe, hakuna mwili wa binadamu unaobaki juu ya ardhi. Hata kama hakuna kiongozi wa dini, azikwe kimila.
Sio misiba tu ndugu, Watanzania tunacomplicate ubatizo, kutahiri kijana wa kiume, kuvunja ungo kwa binti, kipaimara,komunio, mahafali, birthdays, sikukuu, kuagwa kwa mabinti wanaoenda kuolewa na ndoa.Ila ni sawa tu maana wasioenda wamewapunguzia gharama wafiwa. Kama familia inajiweza kiasi hapo ni kununua tu jeneza, wakodi watu wachache wa kusaidia kuzika makaburini, siku imeisha.
Huwa tunacomplicate sana misiba
Makaburini wapo watu wakuzika... wengine wanakuja kufuata umbea tuIla ni sawa tu maana wasioenda wamewapunguzia gharama wafiwa. Kama familia inajiweza kiasi hapo ni kununua tu jeneza, wakodi watu wachache wa kusaidia kuzika makaburini, siku imeisha.
Huwa tunacomplicate sana misiba
Sawa sawaHao wanaojaa kwenye misiba hasa huku uswahili hata ukiwachangisha wote upati pesa ya kulipia tent siku mbili.
Wameipunguzia gharama familia hio,unadhani wangetumia gharama kiasi gani kulisha watu msibani
Mnaivimbia familia yenye uwezo si wanaleta buffer tu wanakula,mazikoni mwili unabebwa na gari.Hakuwa anahudhuria Nzengo!
Hakuwa anatoa michango ya Nzengo!
Marehemu alikuwa anajidai sana!
Akina mama hatupiki wala kulia!
Bongo hii watu tuna nongwa sana. 😁
MTU akifa uende au usiende kwa aliekifa hana cha kupoteza...Ila ni sawa tu maana wasioenda wamewapunguzia gharama wafiwa. Kama familia inajiweza kiasi hapo ni kununua tu jeneza, wakodi watu wachache wa kusaidia kuzika makaburini, siku imeisha.
Huwa tunacomplicate sana misiba
Yeah, very perfect 👊Misiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu
HakikaInatosha sana tu , hata akistiriwa na watu wawili ..inapunguza mzigo wa gharama za mazishi
Hapana,nadhani amemaanisha mtu akifa hata mkimwacha aozee ndani bado haipunguzi kitu maana tayari ameshakufa.Nani kawakwambia kuwa watu wanakuja nakwenda msibani kwa ajili ya kula? Unafikiri watu hawana vyakula majumbani mwao mpaka waanze kusubiri mtu afe ndio wakale. Kwenu wanakufa wangapi kwa wiki mpaka uhisi watu wanakuja kwa ajili ya kula.
Huna akili. Acheni kuvuta mibangi mkiwa na msongo wa mawazo.
Tena na wengine wanafika mbali zaidi wana haribu na mazingira kwa kujisaidia hovyo hovyo tu.Waswahili watu wa nongwa Sana.....wanataka kila mtu aache mambo yake ya msingi ahudhurie misiba utasema wewe ndio utamfufua....
Kwanza kwenye misiba wingi wao kama NZI hauna faida yoyote zaidi ya kula, kunywa na kujaza Choo tu.......kama wamesusa ndio vizuri.....unaita funeral service.... wana maliza kazi.....mnaendelea na mambo mengine....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavu zanguTena na wengine wanafika mbali zaidi wana haribu na mazingira kwa kujisaidia hovyo hovyo tu.
HakikaTena na wengine wanafika mbali zaidi wana haribu na mazingira kwa kujisaidia hovyo hovyo tu.