Mkuu Mtambuzi karibu sana
Ujue kuna baridi na unajua cha kuiondoa baridi ni nini sio hiyo mitura yako wala bia
Lunch nitakuwa hapo Makalio Bar nikipata Mtura...
Jioni tujulishane kiwanja cha kujivinjari na nyama choma....
Wewe Mtambuzi piga hodi basi mazee. Haya nimekusikia.
Blaki Womani mwambie kuna kiwanja kipya pale karibu na Sakina Supermarket bana awahi palehebu mweleze khaa kama leo balaa
naandaa venue iwe Milestone Bar kitu kipya
Blaki Womani mwambie kuna kiwanja kipya pale karibu na Sakina Supermarket bana awahi pale