marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,662
There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)
Shikamoo wife, Nilikuwa namsalimia tu MwanajamiiOne!
Ni kuku wa maziwa au?
Last edited by a moderator:
There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)
Shikamoo wife, Nilikuwa namsalimia tu MwanajamiiOne!
Leo hata sijui huyu mume kala nini..Kachangamka kupita kiasi
yani wewe kaka yangu kwa kupenda kilevi haujambo yani tumekushinda
Huwezi kushiriki chochote humu hadi nikukague bibie!
Endelea kufuta majina ya wenzio wanaopitia thread ili udanganye kuwa mmebaki wawili. naona leo ndio maujanja uliyogundua!There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guests)
Hewaaaa!!!? Hatimae tumekuwa wawili! Embu sogea nikung'ate sikio!
Copy: Mzee wa Rula, Arushaone, Mtambuzi, Erickb52, PakaJimmy!
Hahahahahaha Filipo acha heshma ya uwoga bwana hebu sogea huku hivi hii baridi weye huisikii?There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)
Shikamoo wife, Nilikuwa namsalimia tu MwanajamiiOne!
Bi Mkubwa marejesho niaje mamii? Unajua MUNGU hapendi uchoyo eh?
Hahahaahha unauliza mabomu A- Town?? ............. tatizo we ulisahau kuwa pamoja na kumkaba Filipo beneti, miguu yetu chini ya meza ilikuwa iki-do the needful? (Hapa baba Mtambuzi hatoona asijedai mahari bure!!Leo hata sijui huyu mume kala nini..Kachangamka kupita kiasi
Mmmmh...cousin acha kumsingizia mwenzio!!kaka yako Erickb52 ndo kanifundisha bana mi wala sio wa kihivyo ladyfurahia
Kwa heshma na taadhima ninaomba kuvamia thread hii ya babangu Mtambuzi Kusema ukweli, Arusha Wing.....mmetisha!! Jamani wana JF atakaekuwa anakuja A-Town asisite kuseek company ya hawa watu....Kitu cha Bar mpya (The Only Unit in Town) mie nilienjoy aiseeNinaweka booking kwa wakati wa summer maana hii winter yenu wana Arusha mie nimenyanyua mikono juu. Dudes........... nimeenjoy kusema kweli