Mzee Mtambuzi kimya kimya nimetua jijini Arusha......!

Mzee Mtambuzi kimya kimya nimetua jijini Arusha......!

jamani wamesema tusiape kwa kutumia jina hili GOD sasa mm naogopa kuapa ILA Mungu wangu sasa wewe unakwenda Arushaone kujivinjari tena na sio kufanya yaliyokupeleka huko aiseee huyu mtoto hasara tu,
Lunch nitakuwa hapo Makalio Bar nikipata Mtura...
Jioni tujulishane kiwanja cha kujivinjari na nyama choma....
 
Last edited by a moderator:
hivi eeh.....na Narok wameshaweka mdudu mrembo.....?....tatizo nipo kwenye cage.....damn......



DAh inaelekea hujaenda pale siku nyingi aise Preta
wacha hizo mambo ila nataka nitest baa mpya pale sakina naona inajaa mbaya
 
Last edited by a moderator:
nina wasiwasi kama utarudi na kitu mfukoni........hadi urudi nauli lazima uchangiwe na ukoo

na yasije kumkuta haya, kwa kudaiwa na watoa huduma...
MALAYA.bmp
 
Mkuu Mtambuzi karibu sana
Ujue kuna baridi na unajua cha kuiondoa baridi ni nini sio hiyo mitura yako wala bia

of course ni blanketi chapa mtu......tatizo Mtambuzi hasafirigi na vitendea kazi....refer safari ya j'burg siku ileeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom