Bishanga akihitaji nitampa kwani tumeambiwa kizuri kula na wenzioutampa?
Lunch nitakuwa hapo Makalio Bar nikipata Mtura...
Jioni tujulishane kiwanja cha kujivinjari na nyama choma....
Huwezi kushiriki chochote humu hadi nikukague bibie!
DAh inaelekea hujaenda pale siku nyingi aise Preta
wacha hizo mambo ila nataka nitest baa mpya pale sakina naona inajaa mbaya
umechelewa!!!!!!!
Hakunaga kuchelewa kwenye maisha!
nipo Matui nakusubiria
Sasa hivi nipo A-towners napata kuku maziwa! Nikitoka nitakutafuta. Hatimaye umekuwa mtiifu na kukubali ukaguzi!
Good girl!
There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)
Shikamoo wife, Nilikuwa namsalimia tu MwanajamiiOne!
una heshima sana... Good boy!!!!!!!
una heshima sana... Good boy!!!!!!!