Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Heaven on earth hajui kwamba baridi inahitaji joto halisi la sio joto la vileo na mturahahaa mwambie Mr Rocky baada ya nyama choma atahitaji joto la hasili
wacha kabisa aiseWacha kabisa.......pembeni kuna mdudu mnono......
Lunch nitakuwa hapo Makalio Bar nikipata Mtura...
Jioni tujulishane kiwanja cha kujivinjari na nyama choma....
hivi eeh.....na Narok wameshaweka mdudu mrembo.....?....tatizo nipo kwenye cage.....damn......
DAh inaelekea hujaenda pale siku nyingi aise Preta
wacha hizo mambo ila nataka nitest baa mpya pale sakina naona inajaa mbaya
Ha ha......utawajua tu kwa rangi zao.....
naandaa venue iwe Milestone Bar kitu kipya
nina wasiwasi kama utarudi na kitu mfukoni........hadi urudi nauli lazima uchangiwe na ukoo
Lunch nitakuwa hapo Makalio Bar nikipata Mtura...
Jioni tujulishane kiwanja cha kujivinjari na nyama choma....
Filipo mwongozo wa nini tena hapo!!!!!There are currently 8 users browsing this thread. (4 members and 4 guests)
Mwenyekiti nasubiri mwongozo wako Mkuu!
naomba unipitie huku PPF mwanama tukajivinjari wote
hivi eeh.....na Narok wameshaweka mdudu mrembo.....?....tatizo nipo kwenye cage.....damn......