Mzee Mtambuzi kimya kimya nimetua jijini Arusha......!

Last edited by a moderator:
There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)




Shikamoo wife, Nilikuwa namsalimia tu MwanajamiiOne!
Hahahahahaha Filipo acha heshma ya uwoga bwana hebu sogea huku hivi hii baridi weye huisikii?
Bi Mkubwa marejesho niaje mamii? Unajua MUNGU hapendi uchoyo eh?
Leo hata sijui huyu mume kala nini..Kachangamka kupita kiasi
Hahahaahha unauliza mabomu A- Town?? ............. tatizo we ulisahau kuwa pamoja na kumkaba Filipo beneti, miguu yetu chini ya meza ilikuwa iki-do the needful? (Hapa baba Mtambuzi hatoona asijedai mahari bure!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa heshma na taadhima ninaomba kuvamia thread hii ya babangu Mtambuzi Kusema ukweli, Arusha Wing.....mmetisha!! Jamani wana JF atakaekuwa anakuja A-Town asisite kuseek company ya hawa watu....Kitu cha Bar mpya (The Only Unit in Town) mie nilienjoy aiseeNinaweka booking kwa wakati wa summer maana hii winter yenu wana Arusha mie nimenyanyua mikono juu. Dudes........... nimeenjoy kusema kweli
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri mkuu japo kuwa makini hapana shiriki chakula ya Mtoto utapotea.otherwise enjoy ukimuona chagonja mwambie DVR ipo safe. Kama week end ilikuta huko siyo mbaya ukajichanganya na kitambi noma kukata ngurunyii!
 

mmmmmhhhhhhhh?????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…