Akida MALCOLM X
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 492
- 456
Njaa mbaya inaua mpaka WACHAWI-vitalis Maembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hilo ndo lengo hasa la mada hii,tunataka tusikie kauli zao na pengine tuwajue vizuri rangi zao kwenye masuala ya kitaifa wanasimama wapi! Kukaa kwao kimya tafsiri yake ni kwamba,wanasubiri hatua zitakazochukuliwa na yule wa upande wao ili washabakie. Waonyeshe sasa hivi msimamo wao ktk hili...Hili la Lugumi halina uhusiano sana na uchaguzi, ila ni vizuri mnaowatetea wakasikia kauli zenu humu kuwa je ni vyema kulizima suala linalowagusa wakubwa waliopo na waliokuwapo madarakani, au la!
Chini ya utawala wake wanywa viroba hawatapewa nafasiNaona umekurupuka toka shimoni
Hawasemi kwa sababu kashfa hii inamgusa moja kwa moja mwenyekiti Wa chama chaoHao ni speaker za mafisadi, hawajaambiwa cha kusema. Subiri wapewe cha kujibu uone watakavyolipuka
........kweli nyani haoni ........Wewe akili yako ni sawa na akili ya kambale kuishi kwenye matope
Hizi subra nazo wakati mwingine ni shida tu na ndio hizo subira zime mpa mtu nafasi aka ingia gizani kuna mambo haya hitaji hata sekunde ya kusubiri ingestahili ana hifadhiwa stoo kwanza kwa detantion act wakati uchunguzi una fanyika,ndio yale yale ya Twiga watu wakachukua pesa waka mwonyesha Mpakistani mlango wa kutokea.Kwa hiyo tuendelee kuvuta subira si ndicho unachomaanisha mkuu??
Hawa jamaa bila kuwaita huwa wanajifanya hawajaiona thread. Humphrey Polepole na Mzee Mwanakijiji njooni huku muwatetee akina Lugumi
Nilitaka kuchangia naona kuna beto hapa,haya.........kweli nyani haoni ........
Inawezekana unatumia neno mantiki bila kujua. Sio kila jambo unahitaji kuwa na facts ndiyo useme hasa linapokuwa katika hatu za mwanzo. Ni busara kulisemea kimanti huwezi laumiwa au kosolewa labda kwa mtu siyemwelewa!Kuzungusha mikono kuweza kuwa instantaneous lakini kutafakari kunahitaji muda.
Facts zitakusanywa ili mtu akifungua mdomo wake atoe hoja zenye mantiki. At some point watakuja tu.
Huu unao itwa ufisadi wa Lugumi umethibitishwa na nani?
Mkuu, unataka ufisadi wa Lugumi na Polisi uthibitishwe na nani, Kamati ya Bunge inasema uongo?Huu unao itwa ufisadi wa Lugumi umethibitishwa na nani?
Kwani Ukishajua baadhi yetu misimamo yetu basi huwezi kiwa na shaka tuko upande gani. Hatuko kama wale wanaochukua misimamo kwa kuangalia maslahi ya kisiasa. Hatuna mashaka juu ya uwezo wa Magufuli kumtumbua yeyote inapobidi. Sisi siyo wahamisha magoli.