Mzee mwanakijiji na Humphrey Polepole mbona mpo kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi!!?

Mzee mwanakijiji na Humphrey Polepole mbona mpo kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi!!?

Hili la Lugumi halina uhusiano sana na uchaguzi, ila ni vizuri mnaowatetea wakasikia kauli zenu humu kuwa je ni vyema kulizima suala linalowagusa wakubwa waliopo na waliokuwapo madarakani, au la!
Mkuu hilo ndo lengo hasa la mada hii,tunataka tusikie kauli zao na pengine tuwajue vizuri rangi zao kwenye masuala ya kitaifa wanasimama wapi! Kukaa kwao kimya tafsiri yake ni kwamba,wanasubiri hatua zitakazochukuliwa na yule wa upande wao ili washabakie. Waonyeshe sasa hivi msimamo wao ktk hili...
 
Mwanakijiji anasema waliohujumu katiba wamehamia Chadema,haaah haah zee nafiki hili,anajifanya hamsikii Mwakyembe
pamoja na yaliyotokea,nadhani bado tunahitaji kuona yupo upande gani kwa issue kubwa km hii. Hii ni nchi yetu sote!
 
Kwa hiyo tuendelee kuvuta subira si ndicho unachomaanisha mkuu??
Hizi subra nazo wakati mwingine ni shida tu na ndio hizo subira zime mpa mtu nafasi aka ingia gizani kuna mambo haya hitaji hata sekunde ya kusubiri ingestahili ana hifadhiwa stoo kwanza kwa detantion act wakati uchunguzi una fanyika,ndio yale yale ya Twiga watu wakachukua pesa waka mwonyesha Mpakistani mlango wa kutokea.
 
Polepole na mwanakijiji ni wachumia tumbo na walioamua kuvua akili zao na kuweka makalio na kutumia kufikiri kwa kutumia tumbo kuwaatetea watawala. hawawezi kufikiri kutetea maslahi ya uma. unaweza ukashangazwa polepole akatoka hadharani na kwenda kwenye tv kuwatetea watawala na huu mkataba tata wa lugumi na unaomuhusisha waziri wa mambo ya ndani bwana charles kitwanga.
 
Huyu pole pole hajatumiwa mesej kuwa account yake imeingizwa chochote, mpk akaomba meseji ataripuka sasaiv
 
Kuzungusha mikono kuweza kuwa instantaneous lakini kutafakari kunahitaji muda.
Facts zitakusanywa ili mtu akifungua mdomo wake atoe hoja zenye mantiki. At some point watakuja tu.
Inawezekana unatumia neno mantiki bila kujua. Sio kila jambo unahitaji kuwa na facts ndiyo useme hasa linapokuwa katika hatu za mwanzo. Ni busara kulisemea kimanti huwezi laumiwa au kosolewa labda kwa mtu siyemwelewa!
 
Kwani Ukishajua baadhi yetu misimamo yetu basi huwezi kiwa na shaka tuko upande gani. Hatuko kama wale wanaochukua misimamo kwa kuangalia maslahi ya kisiasa. Hatuna mashaka juu ya uwezo wa Magufuli kumtumbua yeyote inapobidi. Sisi siyo wahamisha magoli.

Hivi ni kweli wewe na Polepole mko timu moja?

Vv
 
Back
Top Bottom