Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

Unaweza kutuwekea ushahidi wa kiasi gani Barrick wanapata kutoka migodi yao yote ulimwenguni kwa mwaka?
 
Makubwa aliyofanya Jakaya, mishemishe na ma deal ya kibiashara mjinikati/ city centre katika majengo haya, migahawa na ofisi mzunguko wa pesa ulikuwa wa uhakika hata watu wa nchi jirani na mikoani walifika jijini kuchangamkia fursa.

Ndugu ngoja nikwambie JK amefanya kwa sehemu yake kama kiongozi na naapreciate(hasa upande wa kujenga barabara) lkn kwa upande wa uchumi alikuwa anatujengea "feck economy " ambao huwa unanufaisha watu wachache tu watu wanasema pesa ilikuwa njenje ni kweli lkn hyo pesa ilikuwa inatokana na mifumo halali ya kiuchumi? HAPANA kwa 7bu utakatishaji pesa na ufisadi was fedha za uma vilikuwa vimekithiri sana. mtu alikuwa anaweza akaiba pesa popote anakuja kuzileta kwenye uchumi wa tanzania, mabenki ya biashara, maduka ya kubadili fedha na makampuni ya bima yalikuwa kitovu cha biashara haramu ya fedha(najua kama sio mchumi unaweza usinielewe vzr lkn haya mambo ya impact mbaya sana katka uchumi wa nchi) nchi lazima I control mfumo wake wa fedha kama inataka kujenga uchumi imara.
 
umetisha sana mkuu bado nidhamu kazini karudisha yeye angalau leo choka mbaya japo anasikilizwa kwa wakati kuliko zamani
 
Mna matatizo ya akili kuwasahau kuwasifia na kuwapongeza Watanzania na kumsifia mwanaume mmoja kwa hatua hii ya maendeleo.
Lazima tumsifie maana yeye ndiio tulimpa jukumu la kutulindia na kuzifanyia maendeleo kodi zetu na matokeo yake tumeyaona
 
Jina linalomfaa mzee wa chattle ni magufail. Haoni mbali; ni mkurupukaji. 80% ya miradi yake are doomed to fail. Ila nyie wataalamu wa political science na wenye myopic vision ndio mnaona jamaa ni jembe 🤣 🤣 🤣
 
you nailed it.
 
Ishia hapo hapo.Bado hujitambui
 
Ama kweli ugali unatafutwa kwa kuigiza kama jamaa alivyojipendekeza akakata kiuno lakini akapigwa chini.Akili ndogo hufikiri mambo kwa kwenda nyuma au kinyumenyume kama unavyofikiri wewe.
 
Wewe kweli pimbi wa kisiasa.
Kwa Mzee Myinyi umeona kaghorofa kamoja tu, ila hukuona the demographic change ya RUKSA, kushamiri kwa kufungua milango ya uchumi wa sekta binafsi?
Kwa Mkapa hukuona uundwaji wa TANROADS na TRA Mpya?
Kwa Kikwete hukuona Ujenzi mkubwa wa miundombinu ya barabara na uhuru wa vyombo vya habar?

Vijengo vichache kuliko tectonic economical shifts is the name of the game.
 
Mbwiga hiyo ni sample tu...uwe unasoma na kuelewa hata kama uko kwenye kilabu cha mbege!
 
ni jukumula serikali kutekeleza mahitaji ya jamii, hata chadema 2020-2025, mbona itafanya mengi kuliko hata haya ambayo anayaachia njia.
 
You should wake up! And don't came here and" come on guys" look at your avatar. Disgusting!

Hakuna hata nemo moja tutakusikiliza. Naamini haupo hata Tanzania. Na naomba hata usirudi huku. Huku tuna kitu kinaitwa uzalendo!

Kwani unafikiri sisi hatujui kama serikali sio mtu mmoja!? Na basi kama ingekuwa kama unavyota wewe basi hakuna haja hata ya kuwa na kiongozi kabisa.

Long live JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…