Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

Yule mkata tiketi asingeamini kama angeambiwa baadae kuwa "yule uliyemkatalia kisa hana nauli itoshayo ndiye Rais wa JMT".

Ama kweli USIONE UKADHANI
Wewe nenda pale kwenye mwendokasi mwambie mwafrika mwenzako huna shilingi Mia moja badala ya 650 mpe 550 halafu mwombe akusamehe hiyo iliyopungua!.

Msipende kuwa wabaguzi kisa mzungu kafanya Basi liwe Jambo baya wakati hapa bongo utabwatukiwa mbele ya kadamnasi na watu watakuzodoa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
sasa akakiweke bookshop hapa au humu haswa jukwa hili la siasa kina mchango gani,hayo maswaibu mbona yanawakuta wengi tu,wacheni kushobokea mambo yasio na tija kwa taifa,eti kakutana mzungu blah blah blah.
Kwani wewe majibu yako yanatusaidia Nini?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Rais mstaafu wa DRC, Joseph Kabila, naye alishushwa kwenye basi huko Mbeya kwa kuwa hakuwa na nauli ya kutosha. Huo ulikuwa wakati wa hayati Mobutu na wakina Kabila walikuwa wakimbizi hapa Tanzania. Baadaye Kabila akaja kuwa Rais wa DRC.
Hahhahaa si mchezo. Yajayo yamefanyika siri sana ili tujifunze
 
Wewe nenda pale kwenye mwendokasi mwambie mwafrika mwenzako huna shilingi Mia moja badala ya 650 mpe 550 halafu mwombe akusamehe hiyo iliyopungua!...
Mwendokasi sio daladala ukipungukiwa ile ticket itapritiwaje
 
Wewe nenda pale kwenye mwendokasi mwambie mwafrika mwenzako huna shilingi Mia moja badala ya 650 mpe 550 halafu mwombe akusamehe hiyo iliyopungua!...
Wapi nimeandika neno mzungu? Wapi nimeonyesha ubaguzi kwenye comment yangu.

Huko uliko mmeamka salama kweli!?
 
Mwendokasi sio daladala ukipungukiwa ile ticket itapritiwaje
Kwani Mwinyi alienda kwenye daladala? Hujaelewa kumbe unaongelea daladala wakati Mwinyi alikataliwa kwenye train na hizo train zinatoa tiketi za mfumo maalum siyo mtu anaweka hela mfukoni.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wapi nimeandika neno mzungu? Wapi nimeonyesha ubaguzi kwenye comment yangu.
Huko uliko mmeamka salama kweli!?
Kuna comment nilitaka kujibu, wewe uko sawa ila Kuna watu wanalaumu maamuzi ya mfanyakazi wa kituo kisa ni mzungu ndo nikatoa mfano aende mwendokasi na hell pungufu akaombe aone Kama huyo mwafrika mwenzake atamsikiliza.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaishi wapi ambako huoni raha ya kujichanganya nao? Au unaona ngozi ya nyeusi NI mbaya?
Waafrika ndo Wana ubaguzi mbaya Sana, ona wahutu walivyochinja watutsi!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
..Aiseeee, kama Boers walivyowatenga na kuwabagua Waafrika wenye asili ya Afrika Kusini !.
...anyway, nimekuelewa unavyoelewa.
 
Back
Top Bottom