Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

Unafikiri kuna nafasi tena kwa Mzee Mwinyi kufa kwa laana za watu kwa umri alionao alishafaulu.
 
Huyu mzee kwa umri wake inaonekana ameshaaza kupoteza kumbukumbu, ushahidi wa hili ni kule Chato siku ya kumuaga magufuli pale alipotaka kurudia kuaga mwili mara mbili na akakili kwamba alisahau...
Ugonjwa wa kumbukumbu unakuja kwa staili tofauti.

Kuna wanaokumbuka ya zamani zaidi lakini wanasahau ya hivi karibuni, kuna wanaokumbuka ya hivi karibuni lakini wakasahau ya zamani
 
unashindwa kuerewa kuwa matukio ya wazee ya miaka 50 iliyopita wanakumbuka kushinda ya leo.au hujakaa na wazee?
Ndio maana nimetaka kujua juu ya hili kwasababu mzee amafikia hatua ya kusahau hadi watoto wake.
 
Ugonjwa wa kumbukumbu unakuja kwa staili tofauti.

Kuna wanaokumbuka ya zamani zaidi lakini wanasahau ya hivi karibuni, kuna wanaokumbuka ya hivi karibuni lakini wakasahau ya zamani
Kwahyo ugonjwa wa huyu mzee ni wakusahau mambo mpya au sio!, maana kwa alichokifanya ile siku chato kilinipa mashaka juu ya hiki kitabu.
 
Huyu mzee kwa umri wake inaonekana ameshaaza kupoteza kumbukumbu, ushahidi wa hili ni kule Chato siku ya kumuaga magufuli pale alipotaka kurudia kuaga mwili mara mbili na akakili kwamba alisahau...
Mkuu hivi unajua hicho kitabu kimeanza kuandikwa lini?
 
Huyu mzee kwa umri wake inaonekana ameshaaza kupoteza kumbukumbu, ushahidi wa hili ni kule Chato siku ya kumuaga magufuli pale alipotaka kurudia kuaga mwili mara mbili na akakili kwamba alisahau...
Wazee huwa wanakumbuka mambi ya zamani kuliko ya karibuni
 
Huu ndiyo uzuri wa mabeberu aka ngozi nyeupe, angekuwa ngozi nyeusi pale lazima ulambwe viatu, simu na vibao juu kwa nini unatembea mjini bila hela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanaandika matukio Yao ya kila siku,Dairy Zao zimejaa matukio kwahiyo ukifika wakati wakuandika kitabu zinapitiwa tu diary
 
Huyu mzee naye ni muongo sana.
Du! Sasa uongo wake we umejuaje haya hebu tuelezee wewe ukweli ulivyokua na uuze kwa bei ya chini kidogo kuliko bei anayotuuzia Mwinyi

Mpuuzi we hata bure huo ukweli wako hamna atakae utaka mkiitwa wahuni mnakasirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…