Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza akawepo.Kuna watu wanaishi mpaka miaka 120.Atakuwepo??
Mambo mengine ni kusamehe tu. Mwinyi sasa hivi amezeeka na akili zitakuwa zimechuja.Hilo zee ni jinga hastahili heshima ya mtz yeyeyote
Mbona ajasema shein aongozewe mitano tena.Ili mwanae akae benchMzee anaomba Magu apewe mitano mingine ya nyongeza kama shukrani.
Ila kwa umri alionao na Schizophrenia ni mapacha hivyo tumuwie radhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitano ya Shukrani wakuu.Mbona ajasema shein aongozewe mitano tena.Ili mwanae akae bench
Ndo inatakiwa akae kimya asituchefue na kuamsha zaidi mashetani yetu maana tumemchoka huyu mharibu nchi alafu anatuletea upumbavu!!!!!Mambo mengine ni kusamehe tu. Mwinyi sasa hivi amezeeka na akili zitakuwa zimechuja.
Mbona ajasema shein aongozewe mitano tena.Ili mwanae akae bench
Mwinyi ana miaka 95, wengi wetu tutaanza kupoteza kumbu kumbu (Kama Mwenyezi Mungu ataweka uhai) in our earlier 80's
Kuweza tu kumtaja na kumfahamu Rais wa nchi,na kumtambua mwanawe na kuongea na kuwa na (kumbu kumbu?) katika umri huo ni jambo la kushukuru Mungu. Mengine tuelewe na kujiongeza.
Mzee amesha piga hesabu, magu akijiongeza hata mitano mingine, inatasha mwanae kumaliza awamu zake Zanzibar aje achukue na bara. Ni malengo tu
Kheee mnadhani Jiwe ndio alimchagua acheni propaganda huyo kachaguliwa na wazanzibar wenyewe kuingia tano bora. Kimsingi wote walio wachafua tano bora walikuwa na equal chances of being selected.kule dodoma walikuwa wa natafuta tu mshindi mmoja tuhuyu Mzee alikua anataka mtoto wake aonwe na jiwe, kama alivyoonwa, sasa jinsi ya kumshukuru jiwe ndio anaona aendelee au kuongezwa muda kinyume na taratibu, ushamba Wa uzeeni
Ila Ana mkwe mzuri sana...nilimuangalia yule mwanamke nikasema daah kweli Kuna wanawake wameumbika[emoji7][emoji7]
Tulia weweUmeshaanza kutamani vya watu!!!-- mke wa mtu sumu.