Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Naunga mkono hoja.Mwinyi kavimbiwa shibe ya kodi zetu. Tumhurumie. Mwinyi anatakiwa achapwe kibao kingine maana inaonekana ni mgumu sana kuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja.Mwinyi kavimbiwa shibe ya kodi zetu. Tumhurumie. Mwinyi anatakiwa achapwe kibao kingine maana inaonekana ni mgumu sana kuelewa
Shein aongozewe mitano tena ili mwanae asubirie kwanzaKatiba sio sheria kutoka kwa Mungu na ndiyo maana kuna mabadiliko ya katiba.
Katiba inaweza kubadilishwa kukidhi haja ya wakati.
Mwinyi hatakiwi kulaumiwa kwani hayo yalikuwa ni maoni yake kama jinsi watu wengine walivyotoa maoni ya aina hiyohiyo na pia mpo nyie mnaotoa maoni kwamba katiba ibaki hivyo hivyo.
Yeye kaona wakati huu ni muafaka kubadilisha katiba ili Magufuli aendelee kwa miaka mitano zaidi. Kwa maoni yake, ni kama kumpa asante. Na Magufuli akamjibu palepale kwamba; " mbona wewe hukuongeza muda wako".
Basi nadhani, kutoa maoni ushauri sio dhambi, dhambi ni kumshambulia mtoa ushauri au maoni kitu ambacho ilitakiwa ajibiwe kwa hoja za kisiasa tu.
Ila aliomba akili zake zimechokaHilo zee ni jinga hastahili heshima ya mtz yeyeyote
Sasa mjukuu unataka muda usiongezwe bila sababu za msingi..nakutonya tu kama Mungu atajaalia afya njema tutapiga piga kura ya kumuongeza muda.
Unajua kilichokua kikiendelea Rusia?. Wengi hawakuamini kilichotokea lakini leo putin ni mpaka 2036.
Picha ya huyo mkwe kama kweli ulimuonaIla Ana mkwe mzuri sana...nilimuangalia yule mwanamke nikasema daah kweli Kuna wanawake wameumbika[emoji7][emoji7]
Mbona ajasema shein aongozewe mitano tena.Ili mwanae akae bench
umeniwahi... nilitaka kusema ivo ivo.Mwinyi kavimbiwa shibe ya kodi zetu. Tumhurumie. Mwinyi anatakiwa achapwe kibao kingine maana inaonekana ni mgumu sana kuelewa
Imeandikwa "...hakuna ampaye mwanae jiwe badala ya mkate ama nyoka badala ya samaki...Mbona ajasema shein aongozewe mitano tena.Ili mwanae akae bench
Mzee anataka Magufuli apewe miaka mingine 5 kama asante. Kule Zanzibar mwanae Hussein Mwinyi atakuwa amemaliza kipindi cha pili. Watakuja na karata ni zamu ya Mzanzibar kupewa nafasi ya kugombea kupitia CCM!Mzee amesha piga hesabu, magu akijiongeza hata mitano mingine, inatasha mwanae kumaliza awamu zake Zanzibar aje achukue na bara. Ni malengo tu
Unaweza kumuondolea mihula ili atawale tani yake lakini naye ni binadamu na ipo siku atakufa, hatoishi milele. Sasa unataka kweli marais watakaokuja nao watawale wafie madarakani?
Maana hiyo katiba utakayoiunda itarithiwa na mwingine na mwingine na mwingine.
Ukianza kubadili mihula, hiyo ndo itakuwa tabia ya watawala watakaofuata, nao watabadili tu, mwishowe nchi hii itatumbukia katika tawala za kidhalimu na wananchi watakuwa hawana namna zaidi ya kuchukua mtutu na kuingia msituni. Hii ndo aina ya nchi unayoitaka?
Shein aongozewe mitano tena ili mwanae asubirie kwanza