johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naunga mkono.Chama Tawala si uhalisia!
Uhalisia Anatawala MTU!
Kuna haja Wenyenchi Tubadilike kwa Kumchagua MTU na sio chama!Naunga mkono.
Ndio maana JPM alifanya yake na kuna uwezekano SSH akafanya yake japokuwa ilani ni ile ile.
Kama hivyo ndivyo Kwamba wakwanza Kufa itakua vyama Pinzani sasa CCM ina hofu gani?Hapo Mzee Nyerere alichemka
Swali lilikuwa huyo mgombea binafsi akishinda atatekeleza sera gani? sababu hana sera yeyote anakuwa tu kama mlevi tu anayetoa tu ahadi hewa za majukwaani
Pili ugumu wa kufanya kazi akishinda.Mfano kashinda uraisi halafu wabunge wote wanatoka kwenye chama.Aweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye wakati wowote na akatolewa madarakani.Pia aweza kwamishwa na walio wengi bungeni na kwenye watendaji
Lakini mgombea binafsi akiruhusiwa hata leo wa kwanza kufa ni vyama vya upinzani sababu havina network kubwa mijini na vijijini.Pia ni rahisi mtu kushinda kwa kutumia mtandao wa chama kuliko wa kibinafsi laba awe bilionea!! Kampeni nchi nzima sio lelemama
Kanye West ni wa chama gani?Mgombea binafsi ni porojo tu hata ulaya na marekani wagombea uraisi huwa na vyama
Sana sana labda mbunge na diwani ndio waweza penya ugombea binafsi !!! Tena wa kumulika na tochi.Uraisi si rahisi mgombea binafsi kushinda iwe Africa au ulaya au marekani
Hapo Mzee Nyerere alichemka
Swali lilikuwa huyo mgombea binafsi akishinda atatekeleza sera gani? sababu hana sera yeyote anakuwa tu kama mlevi tu anayetoa tu ahadi hewa za majukwaani
Pili ugumu wa kufanya kazi akishinda.Mfano kashinda uraisi halafu wabunge wote wanatoka kwenye chama.Aweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye wakati wowote na akatolewa madarakani.Pia aweza kwamishwa na walio wengi bungeni na kwenye watendaji
Lakini mgombea binafsi akiruhusiwa hata leo wa kwanza kufa ni vyama vya upinzani sababu havina network kubwa mijini na vijijini.Pia ni rahisi mtu kushinda kwa kutumia mtandao wa chama kuliko wa kibinafsi laba awe bilionea!! Kampeni nchi nzima sio lelemama
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Mzee Mwinyi 'kakosea' sana kutoa siri za 'kilingeni' hadharan
Hapo Mzee Nyerere alichemka
Swali lilikuwa huyo mgombea binafsi akishinda atatekeleza sera gani? sababu hana sera yeyote anakuwa tu kama mlevi tu anayetoa tu ahadi hewa za majukwaani
Pili ugumu wa kufanya kazi akishinda.Mfano kashinda uraisi halafu wabunge wote wanatoka kwenye chama.Aweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye wakati wowote na akatolewa madarakani.Pia aweza kwamishwa na walio wengi bungeni na kwenye watendaji
Lakini mgombea binafsi akiruhusiwa hata leo wa kwanza kufa ni vyama vya upinzani sababu havina network kubwa mijini na vijijini.Pia ni rahisi mtu kushinda kwa kutumia mtandao wa chama kuliko wa kibinafsi laba awe bilionea!! Kampeni nchi nzima sio lelemama
Daah unauliza mgombea binafsi akishinda atatekeleza sera gani? Aisee huu ni ukilaza wa hali ya juuHapo Mzee Nyerere alichemka
Swali lilikuwa huyo mgombea binafsi akishinda atatekeleza sera gani? sababu hana sera yeyote anakuwa tu kama mlevi tu anayetoa tu ahadi hewa za majukwaani
Pili ugumu wa kufanya kazi akishinda.Mfano kashinda uraisi halafu wabunge wote wanatoka kwenye chama.Aweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye wakati wowote na akatolewa madarakani.Pia aweza kwamishwa na walio wengi bungeni na kwenye watendaji
Lakini mgombea binafsi akiruhusiwa hata leo wa kwanza kufa ni vyama vya upinzani sababu havina network kubwa mijini na vijijini.Pia ni rahisi mtu kushinda kwa kutumia mtandao wa chama kuliko wa kibinafsi laba awe bilionea!! Kampeni nchi nzima sio lelemama
Mataga a.k.a SUKUMA GANG katika ubora wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo Mzee Nyerere alichemka
Swali lilikuwa huyo mgombea binafsi akishinda atatekeleza sera gani? sababu hana sera yeyote anakuwa tu kama mlevi tu anayetoa tu ahadi hewa za majukwaani
Pili ugumu wa kufanya kazi akishinda.Mfano kashinda uraisi halafu wabunge wote wanatoka kwenye chama.Aweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye wakati wowote na akatolewa madarakani.Pia aweza kwamishwa na walio wengi bungeni na kwenye watendaji
Lakini mgombea binafsi akiruhusiwa hata leo wa kwanza kufa ni vyama vya upinzani sababu havina network kubwa mijini na vijijini.Pia ni rahisi mtu kushinda kwa kutumia mtandao wa chama kuliko wa kibinafsi laba awe bilionea!! Kampeni nchi nzima sio lelemama
Kwa hiyo leo unawaiga mabeberu wezi wa rasilimali?Mgombea binafsi ni porojo tu hata ulaya na marekani wagombea uraisi huwa na vyama