DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Jodari hana sumu bhna ungesema kasa ningekuelewaWengine wana sumu.Muwe makini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jodari hana sumu bhna ungesema kasa ningekuelewaWengine wana sumu.Muwe makini.
Neno "muislamu" limeharibu komenti hii.mnasifia ujinga kama raisi Mwinyi with all due respect angewajibika/shwa kwa kuvunja katiba huu ujinga wa sasa hivi usingejirudia, sasa hivi kafanya vile vile kwa sababu anajua hakuna consequenses zozote au mnafikiri hawajui kwamba wanavunja katiba yetu? btw Mzee Mwinyi ni mmoja kati ya maraisi bora kuwahi kutokea na Muislamu kwa maana halisi ya Uislamu falsafa ya dini ameielewa na ameeishi no kiburi, no majigambo, no sadism no wonder mtoto wake ni raisi leo amelelewa vizuri au mnaona future ya mwamedi nchi hii beyond mama yake ?
Mnakula na nyongo yake.Anyway,supu njema!Jodari hana sumu bhna ungesema kasa ningekuelewa
Kolekole wapo wa kutosha wewe tu hata ukitaka Mkunga pia wapoYa kole kole ipo?!! Ama furusi itafaa zaidi haswa kichwa chake japo kimekaa kama taswira ya mwendazake!!
Kolekole wapo wa kutosha wewe tu hata ukitaka Mkunga pia wapo
Point ipo hapaNimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba.
Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba?!
Kama amevunja, hakuna taasisi za kupinga uvunjaji huo wa katiba?!!
Soma nukuu hiyo- View attachment 2753068View attachment 2753069
Je Waziri Mkuu aliyepo anapwaya hivyo ilibidi apate msaidizi? Je na kumtoa madarakani ni kuvunja serikali na ingebidi kuitisha uchaguzi?!
Angefanyeje ili kumtoa?!! Angem-Ndugai tu, naam,kama spika Ndugai alivyoachia kiti baada ya Mama kutoa hutuba fulani na kufuatiwa na sauti za chawa fulani chamani na hatimae Ndugai akaitisha press na kulia "nimekosa Mimi,nimekosa Mimi" na akatangaza kuhiuzulu. Aliepo nafikiri angesema tu kwa sababu za kitabibu!!
Je Mama amesigina katiba kwa kuteua Naibu Waziri Mkuu kwa maslahi ya Taifa ama maslahi binafsi?!!
Nafikiri sababu kuu pia ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025. Kivipi?!! Waziri Mkuu aliyepo hana mvuto mkubwa wa kisiasa na hata Makamo wa Rais aliyepo hana kabisa mvuto mkubwa wa kisiasa japo anatokea kanda ya ziwa na amekua mbunge na waziri kwa muda mrefu.
Kwa nini Biteko awe Naibu Waziri Mkuu?!! Ili angalau upate kura nyingi za uraisi Kanda ya Ziwa inabidi uwe na strong base ya watu wanaokubalika kanda ya Ziwa. Kwneye wabunge wote wa CCM wanaotoka kanda ya Ziwa,wenye walau ushawishi na usafi nafikiri ni Mh Angela Mabula na Mheshimiwa Biteko.
Kumuandaa makamo wa Raisi Mpya anaetoka kanda ya ziwa mbadala wa Mpango ndio lengo la teuzi hiyo.
Kwa Biteko imebidi maana ni mwanaume na Mabula ni mwanamke, haiwezekani kwenda kwenye uchaguzi na Rais Mwanamke na Makamu mgombea pia mwanamke.
Nafikiri ndio maana Biteko akaumbiwa hicho cheo tata kikatiba na nafikiri hata ulinzi anaopata unaonekana kua ni asset kwenye next project.
Unaweza nirushia whatsaap?Cha mkapa Nina softcopy kina mb nying hapa kinagoma
Ok naweza pia Nina Vitabu vingi Sana soft copy tunaweza badilishanaUnaweza nirushia whatsaap?
NakupmOk naweza pia Nina Vitabu vingi Sana soft copy tunaweza badilishana
Yaani anamweka mtusi kwa nia ya kuwahadaa wasukuma?Kawekwa kimkakati ili kuwahadaa wasukuma kupata kura zao
Hatuendeshi nchi kikatiba tunaendesha kwa utashi wa chama tawala.Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba.
Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba?!
Kama amevunja, hakuna taasisi za kupinga uvunjaji huo wa katiba?!!
Soma nukuu hiyo- View attachment 2753068View attachment 2753069
Je Waziri Mkuu aliyepo anapwaya hivyo ilibidi apate msaidizi? Je na kumtoa madarakani ni kuvunja serikali na ingebidi kuitisha uchaguzi?!
Angefanyeje ili kumtoa?!! Angem-Ndugai tu, naam,kama spika Ndugai alivyoachia kiti baada ya Mama kutoa hutuba fulani na kufuatiwa na sauti za chawa fulani chamani na hatimae Ndugai akaitisha press na kulia "nimekosa Mimi,nimekosa Mimi" na akatangaza kuhiuzulu. Aliepo nafikiri angesema tu kwa sababu za kitabibu!!
Je Mama amesigina katiba kwa kuteua Naibu Waziri Mkuu kwa maslahi ya Taifa ama maslahi binafsi?!!
Nafikiri sababu kuu pia ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025. Kivipi?!! Waziri Mkuu aliyepo hana mvuto mkubwa wa kisiasa na hata Makamo wa Rais aliyepo hana kabisa mvuto mkubwa wa kisiasa japo anatokea kanda ya ziwa na amekua mbunge na waziri kwa muda mrefu.
Kwa nini Biteko awe Naibu Waziri Mkuu?!! Ili angalau upate kura nyingi za uraisi Kanda ya Ziwa inabidi uwe na strong base ya watu wanaokubalika kanda ya Ziwa. Kwneye wabunge wote wa CCM wanaotoka kanda ya Ziwa,wenye walau ushawishi na usafi nafikiri ni Mh Angela Mabula na Mheshimiwa Biteko.
Kumuandaa makamo wa Raisi Mpya anaetoka kanda ya ziwa mbadala wa Mpango ndio lengo la teuzi hiyo.
Kwa Biteko imebidi maana ni mwanaume na Mabula ni mwanamke, haiwezekani kwenda kwenye uchaguzi na Rais Mwanamke na Makamu mgombea pia mwanamke.
Nafikiri ndio maana Biteko akaumbiwa hicho cheo tata kikatiba na nafikiri hata ulinzi anaopata unaonekana kua ni asset kwenye next project.
Yaani anamweka mtusi kwa nua ya kuwahadaa wasukuma?
Masai wa wapi yule, yule ni mjomba wake na laurent nkunda.Kumbe mtutsi yule bwana?!! Lafudhi yake na sura yake nimekuwa nikisema maybe kachanganya na umasai ama kabila moja wapo Arusha!!
Tusome katiba vizuri. kubadilisha Waziri Mkuu hakusababishi uchaguzi mkuu. Rais anayo mamlaka ya kumbadilisha bali atakachohitaji tu ni ridhaa ya Bunge. Mfano wa karibuni ni jinsi Pinda alivyoteuliwa baada ya Lowasa kukaa pembeni. Kwa hiyo ni Rais tu anayejua sababu za uteuzi wa Biteko kwa wadhifa huo. Hoja kuu ni kama uteuzi huo umekiuka katiba ya nchi.Ni kweli Katelephone anapwaja na kumtoa madarakani ni kuvunja serikali na ingebidi kuitisha uchaguzi!!
Angefanyeje ili kumtoa?!! Angem-Ndugai tu (kumlazimisha ajiuzulu) naam,kama spika Ndugai alivyoachia kiti.
Je Mama amesigina katiba kwa kuteua Naibu Waziri Mkuu kwa maslahi ya Taifa ama maslahi binafsi?!!
Nafikiri sababu kuu pia ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025. Kivipi?!! Waziri Mkuu aliyepo hana mvuto mkubwa wa kisiasa na hata Makamo wa Rais aliyepo hana kabisa mvuto mkubwa wa kisiasa japo anatokea kanda ya ziwa na amekua mbunge na waziri kwa muda mrefu.
Kwa nini Biteko awe Naibu Waziri Mkuu?!! Ili angalau upate kura nyingi za uraisi Kanda ya Ziwa inabidi uwe na strong base ya watu wanaokubalika kanda ya Ziwa. Kwneye wabunge wote wa CCM wanaotoka kanda ya Ziwa,wenye walau ushawishi na usafi nafikiri ni Mh Angela Mabula na Mheshimiwa Biteko.
Kumuandaa makamo wa Raisi Mpya anaetoka kanda ya ziwa mbadala wa Mpango ndio lengo la teuzi hiyo.
Kwa Biteko imebidi maana ni mwanaume na Mabula ni mwanamke, haiwezekani kwenda kwenye uchaguzi na Rais Mwanamke na Makamu mgombea pia mwanamke.
Nafikiri ndio maana Biteko akaumbiwa hicho cheo tata kikatiba na nafikiri hata ulinzi anaopata unaonekana kua ni asset kwenye next project.
Duh!!!Masai wa wapi yule, yule ni mjomba wake na laurent nkunda.