granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Wasukuma nao maboya tu, walikuwa wanamkubali mrundi anayejua kisukuma, sasa hv wote wanamkubali mama kisa kampa mtusi anayejua kisukuma uwmYaani anamweka mtusi kwa nua ya kuwahadaa wasukuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma nao maboya tu, walikuwa wanamkubali mrundi anayejua kisukuma, sasa hv wote wanamkubali mama kisa kampa mtusi anayejua kisukuma uwmYaani anamweka mtusi kwa nua ya kuwahadaa wasukuma?
Tusome katiba vizuri. kubadilisha Waziri Mkuu hakusababishi uchaguzi mkuu. Rais anayo mamlaka ya kumbadilisha bali atakachohitaji tu ni ridhaa ya Bunge. Mfano wa karibuni ni jinsi Pinda alivyoteuliwa baada ya Lowasa kukaa pembeni. Kwa hiyo ni Rais tu anayejua sababu za uteuzi wa Biteko kwa wadhifa huo. Hoja kuu ni kama uteuzi huo umekiuka katiba ya nchi
Hatua huchukuliwa kwa nia.Nia yetu kumsamehe.
Kabisa.Isipokuwa Mtikila na dkt.Slaa.Wengine wakivunja sheria za nchi, including katiba huwa wanasamehewa?
Kabisa.Isipokuwa Mtikila na dkt.Slaa.
Kumbe ni vema kuapa huku tumeshika vitambi vyetu.Basi inaitwa double standard, nahiyo katika ni invalid kama kundi fulani linaweza ikanyaga na wasiguswe isipokuwa kundi fulani
Ni matumizi mabaya ya mali za ummaNimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba.
Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba?!
Kama amevunja, hakuna taasisi za kupinga uvunjaji huo wa katiba?!!
Soma nukuu hiyo- View attachment 2753068View attachment 2753069
Je Waziri Mkuu aliyepo anapwaya hivyo ilibidi apate msaidizi? Je na kumtoa madarakani ni kuvunja serikali na ingebidi kuitisha uchaguzi?!
Angefanyeje ili kumtoa?!! Angem-Ndugai tu, naam,kama spika Ndugai alivyoachia kiti baada ya Mama kutoa hutuba fulani na kufuatiwa na sauti za chawa fulani chamani na hatimae Ndugai akaitisha press na kulia "nimekosa Mimi,nimekosa Mimi" na akatangaza kuhiuzulu. Aliepo nafikiri angesema tu kwa sababu za kitabibu!!
Je Mama amesigina katiba kwa kuteua Naibu Waziri Mkuu kwa maslahi ya Taifa ama maslahi binafsi?!!
Nafikiri sababu kuu pia ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025. Kivipi?!! Waziri Mkuu aliyepo hana mvuto mkubwa wa kisiasa na hata Makamo wa Rais aliyepo hana kabisa mvuto mkubwa wa kisiasa japo anatokea kanda ya ziwa na amekua mbunge na waziri kwa muda mrefu.
Kwa nini Biteko awe Naibu Waziri Mkuu?!! Ili angalau upate kura nyingi za uraisi Kanda ya Ziwa inabidi uwe na strong base ya watu wanaokubalika kanda ya Ziwa. Kwneye wabunge wote wa CCM wanaotoka kanda ya Ziwa,wenye walau ushawishi na usafi nafikiri ni Mh Angela Mabula na Mheshimiwa Biteko.
Kumuandaa makamo wa Raisi Mpya anaetoka kanda ya ziwa mbadala wa Mpango ndio lengo la teuzi hiyo.
Kwa Biteko imebidi maana ni mwanaume na Mabula ni mwanamke, haiwezekani kwenda kwenye uchaguzi na Rais Mwanamke na Makamu mgombea pia mwanamke.
Nafikiri ndio maana Biteko akaumbiwa hicho cheo tata kikatiba na nafikiri hata ulinzi anaopata unaonekana kua ni asset kwenye next project.
Hapana, hajachanganya.Kumbe mtutsi yule bwana?!! Lafudhi yake na sura yake nimekuwa nikisema maybe kachanganya na umasai ama kabila moja wapo Arusha!!
Watakuambia "watutsi" wapo hata pale Igombe Tabora.Kumbe mtutsi yule bwana?!! Lafudhi yake na sura yake nimekuwa nikisema maybe kachanganya na umasai ama kabila moja wapo Arusha!!
🤣🤣Tulia weweIronbutterfly kwa nini unajichukiza kwa vitu vya maisha hayahaya?Utazeesha msura huo.🤔
Utavaa mawigi na kujipaka majivu usoni Ila sisi tutacheka tu na kukuona kitutu.🤣🤣Tulia wewe
Hazeeki mtu hapa
🤣🤣Yametoka wapi hayo?Utavaa mawigi na kujipaka majivu usoni Ila sisi tutacheka tu na kukuona kitutu.
Dukani.🤣🤣Yametoka wapi hayo?
Kisa nimedislike utopolo ulopost?
Kama huo uteuzi una manufaa makubwa kwake na ANAWEZA kuufanya, kwa nini asifanye? Ni kama “Covid 19” walivyoteuliwa, kuapishwa na kuwa wabunge enzi za Magufuli hadi leo hii. INAWEZEKANA na itaendelea kufanyika iwe ndani au nje ya katiba.Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba.
Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba?!
Kama amevunja, hakuna taasisi za kupinga uvunjaji huo wa katiba?!!
Soma nukuu hiyo- View attachment 2753068View attachment 2753069
Je Waziri Mkuu aliyepo anapwaya hivyo ilibidi apate msaidizi? Je na kumtoa madarakani ni kuvunja serikali na ingebidi kuitisha uchaguzi?!
Angefanyeje ili kumtoa?!! Angem-Ndugai tu, naam,kama spika Ndugai alivyoachia kiti baada ya Mama kutoa hutuba fulani na kufuatiwa na sauti za chawa fulani chamani na hatimae Ndugai akaitisha press na kulia "nimekosa Mimi,nimekosa Mimi" na akatangaza kuhiuzulu. Aliepo nafikiri angesema tu kwa sababu za kitabibu!!
Je Mama amesigina katiba kwa kuteua Naibu Waziri Mkuu kwa maslahi ya Taifa ama maslahi binafsi?!!
Nafikiri sababu kuu pia ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025. Kivipi?!! Waziri Mkuu aliyepo hana mvuto mkubwa wa kisiasa na hata Makamo wa Rais aliyepo hana kabisa mvuto mkubwa wa kisiasa japo anatokea kanda ya ziwa na amekua mbunge na waziri kwa muda mrefu.
Kwa nini Biteko awe Naibu Waziri Mkuu?!! Ili angalau upate kura nyingi za uraisi Kanda ya Ziwa inabidi uwe na strong base ya watu wanaokubalika kanda ya Ziwa. Kwneye wabunge wote wa CCM wanaotoka kanda ya Ziwa,wenye walau ushawishi na usafi nafikiri ni Mh Angela Mabula na Mheshimiwa Biteko.
Kumuandaa makamo wa Raisi Mpya anaetoka kanda ya ziwa mbadala wa Mpango ndio lengo la teuzi hiyo.
Kwa Biteko imebidi maana ni mwanaume na Mabula ni mwanamke, haiwezekani kwenda kwenye uchaguzi na Rais Mwanamke na Makamu mgombea pia mwanamke.
Nafikiri ndio maana Biteko akaumbiwa hicho cheo tata kikatiba na nafikiri hata ulinzi anaopata unaonekana kua ni asset kwenye next project.
Excellent.mnasifia ujinga kama raisi Mwinyi with all due respect angewajibika/shwa kwa kuvunja katiba huu ujinga wa sasa hivi usingejirudia, sasa hivi kafanya vile vile kwa sababu anajua hakuna consequenses zozote au mnafikiri hawajui kwamba wanavunja katiba yetu? btw Mzee Mwinyi ni mmoja kati ya maraisi bora kuwahi kutokea na Muislamu kwa maana halisi ya Uislamu falsafa ya dini ameielewa na ameeishi no kiburi, no majigambo, no sadism no wonder mtoto wake ni raisi leo amelelewa vizuri au mnaona future ya mwamedi nchi hii beyond mama yake ?
Kwamba Dr.Mpango hatokuwa mgombea Mwenza wa Mama 2025? Duu na kama ndivyo atachukuliwa Dotto au?Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba.
Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba?!
Kama amevunja, hakuna taasisi za kupinga uvunjaji huo wa katiba?!!
Soma nukuu hiyo- View attachment 2753068View attachment 2753069
Je Waziri Mkuu aliyepo anapwaya hivyo ilibidi apate msaidizi? Je na kumtoa madarakani ni kuvunja serikali na ingebidi kuitisha uchaguzi?!
Angefanyeje ili kumtoa?!! Angem-Ndugai tu, naam,kama spika Ndugai alivyoachia kiti baada ya Mama kutoa hutuba fulani na kufuatiwa na sauti za chawa fulani chamani na hatimae Ndugai akaitisha press na kulia "nimekosa Mimi,nimekosa Mimi" na akatangaza kuhiuzulu. Aliepo nafikiri angesema tu kwa sababu za kitabibu!!
Je Mama amesigina katiba kwa kuteua Naibu Waziri Mkuu kwa maslahi ya Taifa ama maslahi binafsi?!!
Nafikiri sababu kuu pia ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025. Kivipi?!! Waziri Mkuu aliyepo hana mvuto mkubwa wa kisiasa na hata Makamo wa Rais aliyepo hana kabisa mvuto mkubwa wa kisiasa japo anatokea kanda ya ziwa na amekua mbunge na waziri kwa muda mrefu.
Kwa nini Biteko awe Naibu Waziri Mkuu?!! Ili angalau upate kura nyingi za uraisi Kanda ya Ziwa inabidi uwe na strong base ya watu wanaokubalika kanda ya Ziwa. Kwneye wabunge wote wa CCM wanaotoka kanda ya Ziwa,wenye walau ushawishi na usafi nafikiri ni Mh Angela Mabula na Mheshimiwa Biteko.
Kumuandaa makamo wa Raisi Mpya anaetoka kanda ya ziwa mbadala wa Mpango ndio lengo la teuzi hiyo.
Kwa Biteko imebidi maana ni mwanaume na Mabula ni mwanamke, haiwezekani kwenda kwenye uchaguzi na Rais Mwanamke na Makamu mgombea pia mwanamke.
Nafikiri ndio maana Biteko akaumbiwa hicho cheo tata kikatiba na nafikiri hata ulinzi anaopata unaonekana kua ni asset kwenye next project.
Sio swala kuhadaa Bali swala la kimkakati maana kanda hiyo haina watu wa maana Kwa Sasa ukiacha huyo Biteko ambae somehow ni chaguo sahihi.Kawekwa kimkakati ili kuwahadaa wasukuma kupata kura zao
Kuna vunja Serikali Sasa hiyo ni fedheha na kuleta shida.Tusome katiba vizuri. kubadilisha Waziri Mkuu hakusababishi uchaguzi mkuu. Rais anayo mamlaka ya kumbadilisha bali atakachohitaji tu ni ridhaa ya Bunge. Mfano wa karibuni ni jinsi Pinda alivyoteuliwa baada ya Lowasa kukaa pembeni. Kwa hiyo ni Rais tu anayejua sababu za uteuzi wa Biteko kwa wadhifa huo. Hoja kuu ni kama uteuzi huo umekiuka katiba ya nchi.