Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

Lowasa ajiuzulu yeye mwenyewe na kutoa nafasi hiyo kwa Rais kunteua waziri Mkuu mpya.

Je katiba inasema kua Rais anaweza kumfuta kazi waziri Mkuu bila serikali kuanguka na kulazimika uchaguzi Mkuu mpya?!! Kumbuka waziri Mkuu ndio mtendaji Mkuu sa serikali bungeni.
Waziri mkuu hachaguliwi anateuliwa, baraza huwa linavunjwa
 
Kuna vunja Serikali Sasa hiyo ni fedheha na kuleta shida.

Harafu swala la kumleta Biteko hakina uhusiani na kupwaya Kwa Katelephone Bali liko kimkakati wa Kisiasa so Wala hakuna shida hapo ikizingatiwa PM anamalizia mda wake 2025.
Utashangaa anagombea tena, madaraka ni matamu
 
Kwa hiyo Mkuu una maanisha kuq Mama Samia amefanya uteuzi wa kusigina katiba ili apate cha kuja kuandika sehemu ya kujutia?!!

Kwa hiyo ameona adurufu makosa ya Mzee Mwinyi?!! Yaani miaka 30 iliyopita rais Mwinyi alivunja katiba kwa kosa hilo,tunalirudia tena baada ya miaka 30?!!

Je kiapo wanachokula cha kulijda na kuihifadhi katiba kina mantiki gani?!!
Kwa mantiki ya wana CCM ya Kusoma na Kuelewa katiba kuwa itachukua miaka mitatu (sic) na kuzingatia kuwa SSH yupo madarakani miaka miwili, upo uwezekano mkubwa hajafikia pahali kwenye katiba panaposema au lah kuwa hakuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu, labda, anahitaji mwaka zaidi kufikia hapo.
On a serious note, anadanganywa kuwa tatizo lake kukubaliwa na kura lipo Kaskazini na Ukanda wa Ziwa. Danganya toto hili ndilo linamfanya akurupuke na kupuuza au "kusigina" Katiba.
The Political expediency inamwangusha.
 
Waziri Mkuu aliyepo hana mvuto kisiasa kivipi? Mbona KM yupo vizuri tu. Sema hana mvuto kwa walioshika nchi sasa. Kwa maslahi ya taifa yupo vizuri tu. Majungu na fitina za walioshika nchi sasa ndio zinamponza KM.
 
Back
Top Bottom