Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

Neno "muislamu" limeharibu komenti hii.
 
Tatizo kubwa la hii katiba ya ccm ya 1977 ni kumpa madaraka ya Kifalme Rais aliyeko madarakani. Mtu mmoja anapewa madaraka makubwa kuliko watu zaidi ya milioni 60!!

Hili jambo halikubaliki hata kidogo.
 
Point ipo hapa

"Kwa Biteko imebidi maana ni mwanaume na Mabula ni mwanamke, haiwezekani kwenda kwenye uchaguzi na Rais Mwanamke na Makamu mgombea pia mwanamke.

Nafikiri ndio maana Biteko akaumbiwa hicho cheo tata kikatiba na nafikiri hata ulinzi anaopata unaonekana kua ni asset kwenye next project."
 
Wazanzibari nchi ndogo wana raisi mmoja, makamu wa raisi wawili na waziri kiongozi
so wameona huku waongeze nafasi nyingine
 
Hatuendeshi nchi kikatiba tunaendesha kwa utashi wa chama tawala.
 
Yaani anamweka mtusi kwa nua ya kuwahadaa wasukuma?

Kumbe mtutsi yule bwana?!! Lafudhi yake na sura yake nimekuwa nikisema maybe kachanganya na umasai ama kabila moja wapo Arusha!!
 
wote wazanzibari, halafu haga haga haga, tusipangiane, samia ndo rais kwa sasa.
 
Kumbe mtutsi yule bwana?!! Lafudhi yake na sura yake nimekuwa nikisema maybe kachanganya na umasai ama kabila moja wapo Arusha!!
Masai wa wapi yule, yule ni mjomba wake na laurent nkunda.
 
Tusome katiba vizuri. kubadilisha Waziri Mkuu hakusababishi uchaguzi mkuu. Rais anayo mamlaka ya kumbadilisha bali atakachohitaji tu ni ridhaa ya Bunge. Mfano wa karibuni ni jinsi Pinda alivyoteuliwa baada ya Lowasa kukaa pembeni. Kwa hiyo ni Rais tu anayejua sababu za uteuzi wa Biteko kwa wadhifa huo. Hoja kuu ni kama uteuzi huo umekiuka katiba ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…