Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu


Lowasa ajiuzulu yeye mwenyewe na kutoa nafasi hiyo kwa Rais kunteua waziri Mkuu mpya.

Je katiba inasema kua Rais anaweza kumfuta kazi waziri Mkuu bila serikali kuanguka na kulazimika uchaguzi Mkuu mpya?!! Kumbuka waziri Mkuu ndio mtendaji Mkuu sa serikali bungeni.
 
Ni matumizi mabaya ya mali za umma
 
Kumbe mtutsi yule bwana?!! Lafudhi yake na sura yake nimekuwa nikisema maybe kachanganya na umasai ama kabila moja wapo Arusha!!
Hapana, hajachanganya.

Wazazi wake wote walikuwa watusi, na wote wametangulia mbele za haki. Nadhani wamefariki miaka mitatu iliyopita, wakiwa wamepishana takribani miezi 6.

Yeye nina uhakika kwa 100%, ni mtusi. Nawafahamu na ndugu zake wengi.
 
Kama huo uteuzi una manufaa makubwa kwake na ANAWEZA kuufanya, kwa nini asifanye? Ni kama “Covid 19” walivyoteuliwa, kuapishwa na kuwa wabunge enzi za Magufuli hadi leo hii. INAWEZEKANA na itaendelea kufanyika iwe ndani au nje ya katiba.
 
Excellent.
 
Kwamba Dr.Mpango hatokuwa mgombea Mwenza wa Mama 2025? Duu na kama ndivyo atachukuliwa Dotto au?
 
Hata wataalm wa uzushi (spin doctors) wa kwenye mitandao ya kijamii hampo kwenye katiba.
 
Kuna vunja Serikali Sasa hiyo ni fedheha na kuleta shida.

Harafu swala la kumleta Biteko hakina uhusiani na kupwaya Kwa Katelephone Bali liko kimkakati wa Kisiasa so Wala hakuna shida hapo ikizingatiwa PM anamalizia mda wake 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…