Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Waziri mkuu hachaguliwi anateuliwa, baraza huwa linavunjwaLowasa ajiuzulu yeye mwenyewe na kutoa nafasi hiyo kwa Rais kunteua waziri Mkuu mpya.
Je katiba inasema kua Rais anaweza kumfuta kazi waziri Mkuu bila serikali kuanguka na kulazimika uchaguzi Mkuu mpya?!! Kumbuka waziri Mkuu ndio mtendaji Mkuu sa serikali bungeni.
Utashangaa anagombea tena, madaraka ni matamuKuna vunja Serikali Sasa hiyo ni fedheha na kuleta shida.
Harafu swala la kumleta Biteko hakina uhusiani na kupwaya Kwa Katelephone Bali liko kimkakati wa Kisiasa so Wala hakuna shida hapo ikizingatiwa PM anamalizia mda wake 2025.
Wewe upo kikatiba?Hata wataalm wa uzushi (spin doctors) wa kwenye mitandao ya kijamii hampo kwenye katiba.
Kwa mantiki ya wana CCM ya Kusoma na Kuelewa katiba kuwa itachukua miaka mitatu (sic) na kuzingatia kuwa SSH yupo madarakani miaka miwili, upo uwezekano mkubwa hajafikia pahali kwenye katiba panaposema au lah kuwa hakuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu, labda, anahitaji mwaka zaidi kufikia hapo.Kwa hiyo Mkuu una maanisha kuq Mama Samia amefanya uteuzi wa kusigina katiba ili apate cha kuja kuandika sehemu ya kujutia?!!
Kwa hiyo ameona adurufu makosa ya Mzee Mwinyi?!! Yaani miaka 30 iliyopita rais Mwinyi alivunja katiba kwa kosa hilo,tunalirudia tena baada ya miaka 30?!!
Je kiapo wanachokula cha kulijda na kuihifadhi katiba kina mantiki gani?!!
Nimejaa tele.Wewe upo kikatiba?
Yesu aliivunja Sabato.Ahukumiwe au aitwe Bwana wa Sabato?
Sabato ni katiba!!??
Mpuuzi wewe ajuza lala hukoNimejaa tele.