Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hujambo binti yangu?Huyu ni nani ?Ndo namsikia Leo aisee.RIP mzee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujambo binti yangu?Huyu ni nani ?Ndo namsikia Leo aisee.RIP mzee.
Msichana gani huyu mvivu wa kusoma. Hana haja ya kuuliza maswali ya kivivu, kwanini asingejipa muda wa kusoma hii post kwanza kabla ya kukurupuka kuuliza. Mwenye post kawaweka vitu vyote vya muhimu vinavyopunguza maswali ya aina hii.Aiseee.. MUNGU akuhurumie mzee binti ameuliza swali matokeo yako unatoa povu badala ya kumpa jibu sahihi
Jazakallahu kheri,Daah!! Maisha haya we acha tu!! Fanya ufanyalo lakini kwa Mola wako ni marejeo. Masikini mzee wetu sasa anakwenda kukutana na Mola wake ambaye anachohitaji kutoka kwa mzee wetu ni amali zake tu. Mola hataangalia kama yeye alikuwa nani kwenye siasa za Tanzania. Mola wetu tujaalie mwisho mwema na tujaalie tufanye yale tu yatakayokupendeza wewe hata kama binadamu wenzetu watachukia. Amen.
Can be debated?
Nchi hii ina dhuluma sana. Victoire niliwahi kusikia marehemu alikuwa pia Mkurugenzi Mkuu wa RTD.
Sasa hiyo ni sifa nzuri?
Hapo cha kujifunza kuhusu uadilifu wa ujamaani ni kwamba utaishia kutembea na viatu vinachomoka soli kama Mzee Sozigwa.
Kambona alipinga hizi itikadi akakimbizwa na Nyerere.
Alikuwa na rais Mwinyi, si Nyerere. Walikwenda kuangalia hali kusini baada ya mafuriko.![]()
Katika picha hii mtu aliye hai ni Rais Benjamin Mkapa tu! Wengine hao wengine wametutoka nakumbuka Habibu Harahara alikufa vibaya kwa kukatwa na panga la helikopta waliokuwa wamepanda yeye na Mwalimu Nyerere. Alikatwa na panga hilo kwa bahati mbaya nafikiri ilikuwa kama siyo Mtwara ni Lindi. Msiba wake ulisikitisha sana.
![]()
Katika picha hii mtu aliye hai ni Rais Benjamin Mkapa tu! Wengine hao wengine wametutoka nakumbuka Habibu Harahara alikufa vibaya kwa kukatwa na panga la helikopta waliokuwa wamepanda yeye na Mwalimu Nyerere. Alikatwa na panga hilo kwa bahati mbaya nafikiri ilikuwa kama siyo Mtwara ni Lindi. Msiba wake ulisikitisha sana.
Sijasema mahali kokote kwenye bandiko langu kwamba hiyo ni sifa nzuri!!Sasa hiyo ni sifa nzuri kutembea na soli imelala upande?
Nikionaga haya mambo yanawatokea watu waliolitumikia taifa na then serikali kupitia SSRA inazuia fao la kujitoa kule kwenye mashirika ya hifadhi ya jamii, nguvu hua zinanishiia kabisa. RIP Mzee SozigwaKama mpaka anakufa alikuwa hajalipwa mafao yake basi tutegemee laana kwa hii nchi yetu.
Mzee amepumzika kwa Amani.