Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mchekeshaji Mzee Shayo amemkosoa vikali Coy Mzungu, akimtuhumu kuwanyonya vijana kwa manufaa yake binafsi na kudai hafai kuitwa game changer wa ucheshi nchini. Shayo amesema game changer halisi katika comedy ni Diamond Platnumz, akishangazwa na tuzo aliyopatiwa Coy Mzungu.

"Siwezi Kumtofautisha Coy Na Utapeli, Hajawahi Kufanya Kitu Chochote"


 
Kwenye maisha kama ukifanya kitu halafu utegemee ulio wasaidia wakushukuru, utaumia sana mara nyingi hurudisha matusi na kejeli. Platform aliyo ianzisha Coy imewapa vijana maisha, leo tunawaona akina Ndaro, Leonard, Aza boi,Obama nk na kuwafanya wapate mahitaji ya msingi. Kukosea na kukwazana kupo,ila huwezi kulinganisha na impact ya Coy kwenye maisha ya hawa vijana, kwani kupitia Platform ya Coy leo wengi wana maisha kupitia hizi social platforms ambazo zinawalipa kwa fan base waliyo ipata kupitia jukwaa alilo lianzisha Coy.
 
Wote matapeli tuu na hawana wanachochekesha,washukuru ni vile tuu watanzania wa kipato cha kati hawana mahala pa kupotezea muda
Hizi anga mimi sipo kabisa. Tanzania sidhani kuna usanii au u-comedian wenye kuweza kunishawishi mimi kuangalia. Huko mitaani vijiweni sana. Kna watu wachekeshaji kweli kweli, tena wana vipaji. Hawa wa online wana-force
 
Stand up comedy ya bongo siifuatilii kwa ambaye ni empty kama mimi kwenye hizi ishu naomba kuuliza kwa niaba ya wenzangu huyu Coy amefanya nini na nini na Diamond kafanya nini na nini kwenye comedy?
Coy mzungu alileta idea ya kuanzisha jukwaa la Cheka tu stand up comedy.
Diamond akawekeza pesa kwenye hiyo idea.
 
Back
Top Bottom