Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

Aliwekeza pesa likiwa lishakuwa jukwaa kubwa mkuu.
Kuwanyonya lazima ndio dunia ya kubepari. Waliojitenga naye mbona hawakusonga kivile, wale watu baki? Bado wengine wamerudi kwa COY.
Principle ya maisha ni kwamba, those who do nothing often have the most to say about those who take action.
Usishushe walaka! Wamefanya kiki ili kuleta jambo lao la content creators challenge
 
Mkuu niliwahi kuwaza kwanini watu huwa wanafurahishwa na hawa wachekeshaji, nikagundua ni culture. Unajua kuna utani unaweza kumchekesha mtanzania ila usimchekeshe mzungu.
Mimi comedian wangu pendwa ni Dave Chapel. Jamaa ni kama mwanafilosofia. Anakuchekesha huku anakufunza na ni story teller mzuri sana.
Hakika. Dhana ya kuchekesha naona ni hiyo 'CULTURE' uliyosema, pia tunatofautiana hisia na mapokeo. Ni kama muziki, huyu anapenda wimbo huu, yule anapenda wimbo ule. Halafu Kuna watu wanahusisha utaifa na comedy...mfano, King Majuto (R.I.P) vs Mr Bean...yeyote anaweza akawa Bora kutokana na mapokeo ya mtu binafsi. Halafu Kuna mtu aliwahi andika kuwa 'unafananisha mtu aliye Ulaya na Tanzania'!?. Yaani mtu anaondoa hisia ya comedy anahukumu Kwa utaifa.
 
Mzee Shayo kupata konikisheni serikali ndio ananyea kambi. Anasahau kwamba Kiburi sio maungwana
 
Mbangubangu mweusi anajiita mzungu

1784327758606.png
 
Back
Top Bottom