Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

Kwenye maisha kama ukifanya kitu halafu utegemee ulio wasaidia wakushukuru, utaumia sana mara nyingi hurudisha matusi na kejeli. Platform aliyo ianzisha Coy imewapa vijana maisha, leo tunawaona akina Ndaro, Leonard, Aza boi,Obama nk na kuwafanya wapate mahitaji ya msingi. Kukosea na kukwazana kupo,ila huwezi kulinganisha na impact ya Coy kwenye maisha ya hawa vijana, kwani kupitia Platform ya Coy leo wengi wana maisha kupitia hizi social platforms ambazo zinawalipa kwa fan base waliyo ipata kupitia jukwaa alilo lianzisha Coy.
Kwa Tanzania ili uonekane umesaidia mtu ni mpaka uwe una mgharamia mtu maisha yake yote ndivyo walivyokaririshwa na huu ujinga hupo hata kwa wasanii waliosainiwa kwenye hizi record labels akishasainiwa kwenye label anataka label idili mpaka matatizo yake ya familia ndio anaona label yake inamsaada
 
Nachukia sana tabia ya wawekezaji/matajiri wanawalipa hela ndogo wafanyakazi wao halafu faida kubwa wanaenda kuitapakanya kwa matumizi ya lavish/flamboyance.

Kuna Tajiri wa Arusha nimeona naye ameongea utumbo kwamba yeye amepata faida ya bilioni 90 sasa atazifanyia nini kwanini asinunua gari la milioni 500?

Ni ujinga sana wa mtu anaingiza faida ya mabilioni halafu staffs wake anawalipa laki 3 hadi laki 5 ni tabia za uchoyo/umimi ,kama umepata faida kubwa kwanini usiwapandishie mishahara wafanyakazi wako? Kwanini usiwape Bonus ili mshare faida?

Sasa huuyo Coy ananunua gari la milioni 120 na kupanga nyumba ya laki 6 halafu staffs wake wengi wamemkimbia kwa kuwalipa hela kiduchu ,huo ni wizi na utapeli...Mzee Shayo ameongea ukweli ,ni tabia sana wa matajiri.

Ukienda kwa MO Enterprises au SSB kote huko ni kuwalipa kuduchu sana wafanyakazi wake huku wao wakiingiza mabilioni ,atleast GSM nimesikia sifa zake huwa anatoa Bonus kwa staffs wake hata wa ngazi ya chini.
 
Ubepari
 
Hizi anga mimi sipo kabisa. Tanzania sidhani kuna usanii au u-comedian wenye kuweza kunishawishi mimi kuangalia. Huko mitaani vijiweni sana. Kna watu wachekeshaji kweli kweli, tena wana vipaji. Hawa wa online wana-force
Mkuu niliwahi kuwaza kwanini watu huwa wanafurahishwa na hawa wachekeshaji, nikagundua ni culture. Unajua kuna utani unaweza kumchekesha mtanzania ila usimchekeshe mzungu.
Mimi comedian wangu pendwa ni Dave Chapel. Jamaa ni kama mwanafilosofia. Anakuchekesha huku anakufunza na ni story teller mzuri sana.
 
Coy mzungu alileta idea ya kuanzisha jukwaa la Cheka tu stand up comedy.
Diamond akawekeza pesa kwenye hiyo idea.
Aliwekeza pesa likiwa lishakuwa jukwaa kubwa mkuu.
Kuwanyonya lazima ndio dunia ya kubepari. Waliojitenga naye mbona hawakusonga kivile, wale watu baki? Bado wengine wamerudi kwa COY.
Principle ya maisha ni kwamba, those who do nothing often have the most to say about those who take action.
 
Back
Top Bottom