Kwenye maisha kama ukifanya kitu halafu utegemee ulio wasaidia wakushukuru, utaumia sana mara nyingi hurudisha matusi na kejeli. Platform aliyo ianzisha Coy imewapa vijana maisha, leo tunawaona akina Ndaro, Leonard, Aza boi,Obama nk na kuwafanya wapate mahitaji ya msingi. Kukosea na kukwazana kupo,ila huwezi kulinganisha na impact ya Coy kwenye maisha ya hawa vijana, kwani kupitia Platform ya Coy leo wengi wana maisha kupitia hizi social platforms ambazo zinawalipa kwa fan base waliyo ipata kupitia jukwaa alilo lianzisha Coy.