Mzee Shayo amuwashia moto Coy Mzungu wa Cheka Tu, 'Ni tapeli unawanyonya vijana

Usishushe walaka! Wamefanya kiki ili kuleta jambo lao la content creators challenge
 
Hakika. Dhana ya kuchekesha naona ni hiyo 'CULTURE' uliyosema, pia tunatofautiana hisia na mapokeo. Ni kama muziki, huyu anapenda wimbo huu, yule anapenda wimbo ule. Halafu Kuna watu wanahusisha utaifa na comedy...mfano, King Majuto (R.I.P) vs Mr Bean...yeyote anaweza akawa Bora kutokana na mapokeo ya mtu binafsi. Halafu Kuna mtu aliwahi andika kuwa 'unafananisha mtu aliye Ulaya na Tanzania'!?. Yaani mtu anaondoa hisia ya comedy anahukumu Kwa utaifa.
 
Mzee Shayo kupata konikisheni serikali ndio ananyea kambi. Anasahau kwamba Kiburi sio maungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…