Mkuu sio lazima kila maiti ikamuliwe tumbo na mavi???Sio hvo tu marehemu anapakwa shedo lipstick...jaman ifike muda Mungu TUMUOGOPE haya mapokeo ya Dunia yatatupeleka pabaya siku ya kiama
Kwaanza Maamuma sio tusi, rejea hata kwenye kamusi za kawaida tu utaona, kuhusu kuitafuta Elimu nako kuna miongozo kwa kuwa hata uchawi, wizi navyo ni Elimu na inatafutwa.Elimu haina mwisho ndugu yangu na kuniita maamuma kwa kejeli bado hujaniumiza as long as ni muislam na nimeelekezwa kuifuata elimu popote basi hakuna tabu nitazidi kusoma ila sio kukariri tu bila kufanya reasoning.
Nyinyi ndio mnaotuambiaga kitu fulani ni bidaa eti kwa kuwa hakikuwepo enzi za mtume (mmekaririshwa),ila nikikuuliza simu unayotumia hapo ilikuwepo wakati wa mtume? Sijui utajibu nini.
Juzi hapa kulikuwa kuna mjadala kuhusu adhabu ya mtu aliye convert kutoka kwenye uislamu kwenda dini nyingine.Uislam hauendeshwi kwa mawazo na busara zako, uislam unaendeshwa kwa kufata Quran na Sunnah
Katika uislam mambo matatu yanatakiwa yafanywe haraka.
1.Mtu anapohitaji kuoa aozeshwe haraka
2.Mtu anapotaka kuslim asilimishwe haraka
3.Mtu anapo fariki azikwe haraka.
Huo ndo uislam kila kitu kimefundishwa katika uislam had staili ya Kutembea, kula&Kunywa, kuvaa, kulala, kuamka, kiiila kitu kimefundishwa na huo ndo unatakiwa uwe mwenendo wa waislam na siyo burasa zako na maoni yako.
Na ni upumbavu zaidi pale mzoga mtarajiwa unapojaribu kuu-insult mzoga uliojipumzikia ukiwa haujui kama kuna mzoga usiojitambua umemsema vibaya.Kukaa na mzoga ndani usio kuwa na faida yeyote siku tano ni moja wapo ya dalili ya upumbavu.
Hata hizo hukumu zinatekelezwa basi kaka, waislam wangapi leo hii wanaenda kwa Mwamposa wanaconvert lakini hawa waarabu pori wapo kimya, wajaribu waone serikali itakachowafanya.Juzi hapa kulikuwa kuna mjadala kuhusu adhabu ya mtu aliye convert kutoka kwenye uislamu kwenda dini nyingine.
Maoni ya waislamu wengi waliyotoa kupitia Quran yalisema ni hukumu ya kifo kwa mtu huyo
Quran imesema atayetoka kwenye uislamu achinjwe, lakini naamini jambo hilo huwezi kulitekeleza kwa ndugu yako kipenzi eti kwakua tu Quran imesema.
Hiyo ndio sababu ya mdau kuweka opinions zake kuwa kuna muda anakuwa freethinker, anafanya kitu kulingana na utashi wake na sio kila muda ni kuifata Quran kwasababu kuna errors kama hizo.
Wewe pia ni mzoga mtarajiwa.Kukaa na mzoga ndani usio kuwa na faida yeyote siku tano ni moja wapo ya dalili ya upumbavu.
Mkuu kwa mujibu wa uislam mtu anapokata roho huwa anapata maumivu makali sana, na Yale maumivu hayakomi mpaka azikweMimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Tatizo la nyie mliokaririshwa dini huwa hampendi chalenge, huo ujinga utawaisha lini?Hulazimishwi kufata utaratibu wa kiislam unayo hiyari ya kujitoa katika taratibu za kiislam na ukafata busara zako ukaweka hata mwezi mzima maiti
Hekima ya jambo hilo tofauti na ulivyofikiri ,hata watu kuomboleza baada ya msiba nayo haitakiwi kisheria baada ya msiba inatakiwa watu wamwagikane wasiweke kiwingu kwa marehemu siku kibao, sasa fikiria kuhusu hekima ya jambo hilo unaweza kupata baadhi ya sababu zinazopelekea mtu kuwahishwa kuzikwa.Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Hapo sasa nimekupata mkuu sio hawa wengine wanaishia kutoa tu lugha mbovu, kama suala la kuwahisha kuzika ni hekima ili kuzuia kuomboleza hapo nimekubali mkuu.Hekima ya jambo hilo tofauti na ulivyofikiri ,hata watu kuomboleza baada ya msiba nayo haitakiwi kisheria baada ya msiba inatakiwa watu wamwagikane wasiweke kiwingu kwa marehemu siku kibao, sasa fikiria kuhusu hekima ya jambo hilo unaweza kupata baadhi ya sababu zinazopelekea mtu kuwahishwa kuzikwa.
Mkuu kwa mujibu wa uislam mtu anapokata roho huwa anapata maumivu makali sana, na Yale maumivu hayakomi mpaka azikwe
Nadhani hii ni sababu kuu mtume wetu akatuasa swala hili liwe miongoni mwa Mambo ya haraka zaidi
Hajampangia wala kumlazimisha mtu.Dini ni itamaduni wa jamii na kila jamii ina tamaduni zake ambazo ndiyo msingi wa maisha yao ya kila siku. Kamwe taratibu za A haziwezi kuwa za B. Waislamu wabaki kwenye utamaduni wao na wakristo vivyo hivyo. Ni mbaya kuchelewesha maiti kwa mwislamu(ndiyo utamaduni na imani yao) ila siyo mbaya kwa wakristo (ndiyo utamaduni na maisha yao). Tusipangiane wala kulazimishana kila mtu abaki kwenye njia yake
Kwahiyo hizo sababu ulizosema wewe mtume naye aliainisha vile vile au niwewe tu unaleta.Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Vipi ukilipuka na bomu kama la Hiroshima na Nagasaki ukatoka vipande vipandeMkuu kwa mujibu wa uislam mtu anapokata roho huwa anapata maumivu makali sana, na Yale maumivu hayakomi mpaka azikwe
Nadhani hii ni sababu kuu mtume wetu akatuasa swala hili liwe miongoni mwa Mambo ya haraka zaidi
Ni mimi tu nimeleta kutokana na kufanya reasoning, sio maneno ya mtume na hangeweza kuyasema wakati huo hayo niliyoyasema kwa kuwa hizo technology nilozosema hazikuwepo.Kwahiyo hizo sababu ulizosema wewe mtume naye aliainisha vile vile au niwewe tu unaleta.
Ila punguza ujuaji Mkuu,.... Unakosea unaposema wenzako hawafanyi reasoning, wakati kiuhalisia wewe ndiyo upo wrong.Hapana kulazimisha katika dinui. Kwani Uongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
Al_baqarah 256