Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Kuwahi au kutowahi kumzika mtu sio big issue. Kuna jamaa muislam post 10 kaeleza vema sana. Saa zingine mtu kazimia tu we mnawahi kumpiga kituta
.
Kama watu mna uwezo hakuna ubaya kuchelewa kuzika kuwapa nafasi na wengine kushiriki ibada ya mazishi.

Maana kuhudhuria mazishi ni ibada na ukumbusho pia.
Huyo hajui lolote kama wazee wetu waliweza kumtambua mtu alie kufa watakuwa madaktari wasema amekufa kumbe yuhai?mtu akisha zima Kawa mzoga tu
 
Miaka mia mbeleni kwa ongezeko la watu, ardhi ikiwa kwa uchache.. watu watachomwa moto na kuzika majivu... kuna lijitu lingine litapost jamiiforums ya miaka hiyo...
"Watu sikuhizi huchoma maiti na kuzika majivu ni kinyume na maandiko:[emoji23][emoji23][emoji23]
Itaisha aridhi ya kujengea sio ya kuzikia
 
Umenikumbusha mwaka 2010 Mwanza kuna bibi ilisemekana kafariki taratibu za mazishi zikaanza wakati wa kuosha mwili kuna mama alisema anahisi bibi anapumua wakampuuza kwamba anaogopa maiti...wamemweka kwenye jeneza wakati wanampulizia perfum akapiga chafya watu.ndio kutoka mbio... kumbe ki bibi kilipoteza tu fahamu.
Mtu akisha kufa Kawa mzoga tu tangu lini ukawa na thamani
 
Sio Imani Yao Mila za mwarabu. Afrika kiasili na kimila lazima watoto wake kwanza na alikuwa anahifadhiwa ndani kwa kukandwa na chunvi
Watoto wao wakija wanamrudishia roho?bora ya mila za kiarabu kuliko mila za kishenzi za kutunza mzoga ndani na kuanza kuanga tangu lini mzoga ukawa na thamani
 
Mzee haijalishi kinachotakiwa marehemu kaifadhiwa na ndugu zake wamekuja wote na wameshiriki kuuga mwili wa marehemu ndugu yao,Waislam ni waroho sana.
Mtu akisha kufa Kawa mzoga kama wana mpenda yanini kumzika?si waishi nae ndani basi mzoga hauna thamani hapa tunajifariji tu
 
Ndio maana nimeweka hapo kuwa ni maoni yangu binafsi na sio msimamo wa uislam, mimi sio mfuata kila linalosemwa kwa sababu natambua uislam asili yake sio huku kwetu na pia ni karne nyingi zimepita lazima mabadiliko yawepo.

Maelekezo ni kuwa mtu akifa inatakiwa azikwe haraka wakati huo, now lazima nifanye reasoning kwa nini ilisemwa hivi, nagundua ala kumbe wakati huo hakukua na teknolojia kubwa katika uhifadhi wa maiti, mawasiliano, uchukuzi n.k. Lakini uzuri zaidi imesisitizwa tu kuwa mazishi yafanyike haraka, hakuna palipotajwa kuwa yafanyike haraka kwa kiasi gani kwa hiyo kwako wewe masaa mawili unaweza kutafsiri kwamba ni haraka, yule akatafsiri haraka ni masaa sita na mimi nikasema haraka ni siku tatu, hakuna tatizo hapo.

Mimi sio kama wewe unafuata lolote bila kufanya reasoning, chochote kikitamkwa ni lazima kina sababu nyuma yake.
Wewe mbumbumbu ukituma mtoto wako dukani ukamwambia fanya haraka wakati huo ni saa 1 asubuhi akarudi jioni atakuwa kafanya haraka mambo ya uisilamu waachie waisilamu wewe shikama na hao wenzio unao dhani ukiwa nao tofaoti utoishi
 
Naona wafia dini hapo juu wananiattack sana, naomba nitoe kauli yangu.

1.Hakuna sehemu niliyosema kuwa uislam uendeshwe kwa matakwa yangu

2. Hakuna nilipodeclare kwamba mimi ni msomi.

3. Hakuna mahali nilipozuia wafu kuzikwa haraka.

Ila nilitoa maoni yangu kulingana na Uislam na utamaduni wa Kiarabu kwamba hili jambo la kuwahisha kuzika nadhani ni kutokana na ukosefu wa teknolojia wakati huo kama mawasiliano, uhifadhi wa maiti na pia uchukuzi, ndio maana ikashauriwa kuwa maiti azikwe haraka, nimeandika neno imeshauriwa kwa sababu hakuna sehemu iliyoweka amri katika jambo hili.

Kuhusu uharaka wa kuzika hiyo ni perceptions za watu, kwa mfano mimi naweza kusema kuzika haraka ni ndani ya masaa mawili baada ya mtu kufa, mwingine akasema kuzika haraka ni baada ya masaa 24 ndugu wakishafika, mwingine anawesa kusema watoto wa marehemu wapo Marekani wanataka kushiriki ibada ya mazishi hivyo tutasubiri kwa siku tatu ili wafike, hiyo pia ni haraka kwa sababu hakuna maiti inayowekwa tu ndani halafu watu wakae nayo bila sababu.


Hayo yalikuwa ni maoni yangu, ssa tuje kwenu wafua dini mnijibu maswali haya mawili.

1. Tafsiri ya neno haraka nyinyi ni muda gani?
2. Mtume (S.a.w) alipofariki hakuzikwa siku hiyo hiyo, nini kilifanya wacheleweshe kuzika na je hapo hakukuwa na ulazima wa kufuata hiyo haraka mnayoipigia kelele.


NB:
Raha ya dini uamini kwa tafakuri sio kukaririshwa bila kufanya reasoning.
Kuna Uislam na kuna utamaduni wa kiarabu.
Wakristo mna tatizo la msingi unahitaji kusaidiwa.
 
Acha upumbavu hilo la marehemu kupata maumivu liko kiimani zaidi ,ila kiuhalisia kukaa na mtu ambaye ameshakufa ndani ni kelo kwa watu wengine ambao wanaharibu ratiba za biashara zao , wengine walikuwa na Safari zao zinaharibika kwa ajili yako kungangania kukaa na mfu ndani na mbaya zaidi unaanza kuomba michango kwa ajili ya kuendelea kuhudumia msiba.

Mtu akisha kufa hana chake tena wala hana faida yeyote duniani anatakiwa azikwe haraka watu waendelee na shughuli zao.
Narudia tena Upumbavu na Ungumbaru ni kuamini kuwa Maiti ikicheleweshwa kuzikwa inapata maumivu mpaka itakapozikwa

Huo ni Upumbavu na Dini inayoaminisha watu huo Upumbavu ni Dini ya kipumbavu

Watakan...kata
 
Huo utoto hata babu zetu waliweza kumtambua mtu alie kufa sembuse wataalam wa afiya?
utaliwa wewe na hao wataalamu wako. Hujawahi sikia Mtu anapasuliwa kichwa badala ya goti? mixer wauguzi Kubaka wagonjw?
 
Watoto wao wakija wanamrudishia roho?bora ya mila za kiarabu kuliko mila za kishenzi za kutunza mzoga ndani na kuanza kuanga tangu lini mzoga ukawa na thamani
Ninyi si mnamwahishia yule jamaa wenu anayechapa mizoga viboko makaburini?
 
Hivi kufuga ndevu na kupaka hinna au wanja pia ni sunnah ?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ni sunna. Lakini, sipendi binafsi nikiona mtu kapaka marangi kubadili nywele au ndevu sijui namuonaje. Namuona kama mtu mshenzi, mshenzi. Ndevu asili yake ni weusi au weupe. Hayo marangi mengine yanakirihisha.

Mfano Sheikh Kishki anapaka wanja na inampendeza. Jamii za zamani wanaume walipaka wanja. Hakuna ubaya juu ya hilo kikubwa inategemea na haiba yako kwa wakati tulionao.

Jambo lingine ambalo nalipinga ni sunna ya kupaka hina kwa mwanaume kwa jamii ya sasa hapana kwa kweli. Hizo mila za kiarabu za waarabu wa kale tuwaachie wenyewe wa sasa kama wataziendeleza au la.
 
Back
Top Bottom