SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
-
- #121
Interstellar mbona nshawahi elezea kwenye moja ya comment mtu aliuliza katika post za nyuma.Mkuu kwenye movie kitu rating kina maana gani ??
Mfano kuna movie imeandikwa rating 6.5 sijui,hii ina maana gani ?
Alafu kuna ile interstellar ile movie sijawahi kuielewa kabisa,napenda movie za vile ila kuna mdau aliniambia mpaka niwe nimepita na ohysics kidogo,nikaona ohooo
Nitakapoipata ntakwambia.SteveMollel mbona ujanijibu kiukwel nimependa movie ya 13 sins naomba unipe movie yenye maudhui Kama hii movie ukiachana na "nerve" na "truth or dare"
Ule tunaita mkate wetu wa kila siku [emoji16][emoji16]Movie ya leo naona umeshaitupie kule chimbo mkuu, aisee vitu vyako ni very very clearly
Sawa mkuu. Nawe pia usisahau kupitia youtube na usubscribe maana kuna kazi zingine kule.
Movies na stories
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Mkuu si kwamba kutakuwa na matatizo na setting? Kama bado yatakuwa yanasumbua, jaribu kudownload BGram (agent wa telegram) kule playstore uwe unaitumia kama mbadala.Mkuu, na download movie kwenye channel yko bt ikimaliza kudowload badala ya kuplay inaanza tena upya kudowload, ni movie moja tu ambayo nimefanikiwa ile ya 13 sins. Kama hii red snow imenilia karibu 1600mb bure. View attachment 1462691
Ni kweli mkuu si unajua mwanzo mgumu ndugu yangu. Nahaha hapa nipate mic njema mambo yawe poa, pia niongeze idadi ya videos per week.Nimetoka kucheki channel ya u tube safi sana ila kuna jambo lifanyie kazi kidogo sauti yako wakati una narrate ni kama inasikika kwa chini hivi jaribu kuongeza otherwise iko poa sana jitahdi uwe unafanya na summary ya series
Ni kweli mkuu si unajua mwanzo mgumu ndugu yangu. Nahaha hapa nipate mic njema mambo yawe poa, pia niongeze idadi ya videos per week.
Hakuna hata moja ambayo haipo unless uwe kwenye channel nyingine. Movies zote zipo. Search majina yake utaziona.mbn hiz ulizoziweka halo kwenye Uzi mbn hazipo
Pamoja boss.Usijari bro mdogo mdogo utafika
Mkuu, tumia BGram.Hii ili haikusumbua na ili download chap sana. View attachment 1462714
Mkuu you tube tunakupata kwa jina gani?
Hahaha pamoja sana boss. Naona kila hatua twasonga...video ya kwanza ilichukua week kupata 100 views, ya pili ikachukua 5 days ila hii ya tatu imechukua masaa tu.Hongera mkuu kwa kula views 100+ ndani ya masaa kadhaa YouTube kama ulivyoeleza kule chimbo, tutazidi kuview na kushare kwa spid kama Shukran yetu kwako.