Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Lile bado mkuu sijajaribu tena kudowload kupitia kule, nachukua title naenda kupakua au kuchk kupitia cyrose hd, issue ni kwamba nikishaichak inabidi niifute kusave space, labda kama una any way au source like telegram ambayo naweza nikadownload zikawa stored out bila kuingia direct kwenye galary nitafutahi mkuu
 
Tumia BGram mzee. Idownload from playstore
 
Naona swali langu mpaka Leo ujajibu
Nilikuuliza movie ipi yenye maudhui Kama "13 Sins" ukitoa nerve na truth or dare?
Tazama. Nilishakujibu mbona kwamba acha nkutazamie.

Ok, waweza tafuta hizi....

1. THE GAME (1997)

2. Game of Death (2006)

3. Black Cadillac (2003)

4. When a stranger calls (2006)
 
Tazama. Nilishakujibu mbona kwamba acha nkutazamie.

Ok, waweza tafuta hizi....

1. THE GAME (1997)

2. Game of Death (2006)

3. Black Cadillac (2003)

4. When a stranger calls (2006)
Asante mkuu Kama utapata zingine nistue.
 
Sasa kama haikai kwenye storage ya simu si ina maana kuiangalia nitaitaji bundle tena?
 
Ahsante sana mkuu.

Ebu Jaribu kutumia KM player. Ikiwa tatizo bado, nijuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanikiwa kwa kuupdate hii vlc,juzi nimeshusha mzigo movie kama 20 hivi ahsante sana kwa wazo lako la ile channel....Mkuu kama una zile series za my secret terrius 2018 na bridal mask utupie mule kwenye channel ya series nazisakaga sana bila mafanikio
 
Sasa kama haikai kwenye storage ya simu si ina maana kuiangalia nitaitaji bundle tena?
Telegram ina cloud storage ambapo inahifadhia vitu vyake. So ww ukishapakua movie, ni kuitazama tu muda wowote utakao huku ikiwa bado haitumii space ya simu yako labda tu ww mwenyewe ukitaka kuhamishia kwenye gallery
 
Sasa kikiwa huko kukiangalia si bando linahitajika? Maana inakuwa kama unastream tena. Ama mimi ndio sielewi
 
Ahsante mkuu.

Usijali ntalifanyia kazi, hiyo secret terrius naiweka saa hii.
 
Nshakuwekea mzigo wako. Hope umeona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…