fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Mzee baba, kila mtu na akipendachoMkuu jitahidi telegram uweke movie mpya tofauti na hizi za kikorea na kichina, weka (chinese/korean) ila zisiwe mfululizo maana huwa zinatesa sana kusoma subtitle bora za kiingereza tu.
Ni ombi mkuu wangu ziweke ila isiwe kwa mfululizo huu.
Sawa mkuu wangu nimekuelewa.Mzee baba, kila mtu na akipendacho
Movies nyingi ninazowekwa zimeombwa na watu so najibu request zao kwa kutuma.
Na movies za kikorea uziongeleazo nimezituma mbili tu baada ya 13 hours ambayo ni ya kizungu.
Labda unaongelea kwa upande wa series, na kule nimetuma kitu alichoomba mshkaji hapo juu.
Unaweza pia ukanipa requests zako mzee nikaziwekaSawa mkuu wangu nimekuelewa.
Huioni wapi yani? ... nilishaeleza huko juu kwamba unachodownload kinabakia Telegram pasipo kuathiri storage ya simu yako, labda wewe ndo ukihamishe kukipeleka kwenye gallery.SteveMollel nimedownload movie kwenye telegram yako ya movies na simulizi lakini sioni hiyo movie hiv Kuna sehemu yoyote kwenye telegram inayoonesha movie uliodownload imeenda wapi?
Ndo nimeangalia kwenye telegram sioni hiyo movie sijui Ni kwanini?Huioni wapi yani? ... nilishaeleza huko juu kwamba unachodownload kinabakia Telegram pasipo kuathiri storage ya simu yako, labda wewe ndo ukihamishe kukipeleka kwenye gallery.
So kama hujaihamisha maana yake hutaiona gallery bali hukohuko telegram.
Huioni kivipi? Yani umeidownload alafu haiplay au umedownload alafu imepotea haionekan ili uiplay?Ndo nimeangalia kwenye telegram sioni hiyo movie sijui Ni kwanini?
Kesi yake ni kama ile yangu niliyokuelezaga mkuu, yaan inadownload mpk inamaliza bt ukitouch kuiplay inazunguka kwa mda then inaanza kudowload upyaaaaHuioni wapi yani? ... nilishaeleza huko juu kwamba unachodownload kinabakia Telegram pasipo kuathiri storage ya simu yako, labda wewe ndo ukihamishe kukipeleka kwenye gallery.
So kama hujaihamisha maana yake hutaiona gallery bali hukohuko telegram.
Ttcl buku unapata Gb 10, night bundleSidhani kama kuna mbadala kwa halotel unlimited sio kinyonge ujue
GB10 saizi hazina mchongo, halotel ni unlimitedTtcl buku unapata Gb 10, night bundle
Mkuu Ttcl ni kweli kobe, ila nimegundua kuanzia saa kumi usiku iko fasta ya ajabu mf Prison break season moja yenye episode 22 naweza download kwa saa moja kuna siku nilidownload episod 4 na 5 kwa masaa 2 tu mb zote 10 ziliishaIla mzee sio mbaya. Nilikuwa natumia ya TTCL lakini ni kobe. Nilikuwa nadownload movies 2 tu usiku mzima. Huwezi fananisha na mzigo wa Halotel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeselect movies zangu zipatazo kumi hvi then nikazidownload kwa pamoja through ttcl huwez amin kufika asubui hakuna ata muvi moja iliyokuwa imemaliza kudowload, nadhan nijaribu halotlMkuu Ttcl ni kweli kobe, ila nimegundua kuanzia saa kumi usiku iko fasta ya ajabu mf Prison break season moja yenye episode 22 naweza download kwa saa moja kuna siku nilidownload episod 4 na 5 kwa masaa 2 tu mb zote 10 ziliisha
Imepotea haionekani ili niplayHuioni kivipi? Yani umeidownload alafu haiplay au umedownload alafu imepotea haionekan ili uiplay?
Haina kasi kama halotel. Nshaitumia.Ttcl buku unapata Gb 10, night bundle
Hapana. Yeye anasema hazioni kabisa. Sasa nastaajabu kwamba zinaenda wapi.Kesi yake ni kama ile yangu niliyokuelezaga mkuu, yaan inadownload mpk inamaliza bt ukitouch kuiplay inazunguka kwa mda then inaanza kudowload upyaaaa
Jaribu kutumia BGram. Ipo playstore uwe unafanyia mambo yako kwa kupitia hiyo appImepotea haionekani ili niplay
Halotel mzee ndo mpango. Unlimited na kasi yake si haba.Nimeselect movies zangu zipatazo kumi hvi then nikazidownload kwa pamoja through ttcl huwez amin kufika asubui hakuna ata muvi moja iliyokuwa imemaliza kudowload, nadhan nijaribu halotl
Nakushauri pia uwe unaweka English subtitle kwenye movie zako zoteHalotel mzee ndo mpango. Unlimited na kasi yake si haba.
Mzee baba, mnataka nifanye kiiiiila kitu ... hata substitles tu za kudownload tu.Nakushauri pia uwe unaweka English subtitle kwenye movie zako zote