Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Nimeshaandika kwenye diary[emoji3][emoji3]sasa si mwezi huu we jiandae ukazaliwe huko.. tutakodi yacht[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaandika kwenye diary[emoji3][emoji3]sasa si mwezi huu we jiandae ukazaliwe huko.. tutakodi yacht[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kupiga show za kibabe Shollo Mwamba na Mzee wa Bwax hakuna anayewafikia iwe bongo fleva ama hiphop hakuna anayewafikia, hapa nazungumzia kwenye kuamsha raia.
Nitag show za sholo Mwamba nithibitishe.maana ninavyofahamu mkali ni bwax hahitaji nguvu nyingi kuleta vibe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka rahaaa yaani
Man Fongo mistari yake ni adimu sana.
Ha ha ha, Genero Taya a.k.a Kono La Jini sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sholo mwamba
Mczo morfan
Lajini
Pk
Kidene
[emoji23][emoji23][emoji23]Humu humu mitaani aisee ila mmefanya nimejiona naishi kizee sana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaishi wapi?
Wasanii wa singeli hawapendani full kurogana .
Huyo huyo Bwax unayemtetea katoa nyimbo anamponda Dulla Makabila anachota nyayo zake, Sholo Mwamba anamuongelea vibaya, kamponda pia Man Fongo humo.
Sasa katika nyimbo za Man fongo ambazo ni mbaya Hauna na Hainaga Ushemeji ni mojawapo.Manfongo upepo ulimbeba sana Alivyotoa hauna na haina ushemeji. na vile wabongo wanapenda kukuza jambo inakua balaa.
Sholo yupo siku nyingi na nahisi ni miongoni mwa waimba singeli walioanzisha usafi.
Dula makabila nazikubali nyimbo zake 3 tu ile style yake ya kupause ilibamba sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema jukwaani Kuna madogo wengi wanaofanya vizuru sana mfano yule anaewapigisha magoti na kuwanyanyua(Pk Mr Konki) pia wapo wengine km mczo na kidene jaribu kufatilia matamasha ya mziki mnene.kwenye show hapa bongo hamna wakumfikia Sholo mwamba narudia tena hakunaaa
tujaribu kotofautisha mwenye hit song na anae amsha jukwaan
narudia tena hakuna wakumfikia sholo mwamba jukwaan
Sent using Jamii Forums mobile app
Jukwaani sijaona km pk mczo au kideneSholo mwamba
Mczo morfan
Lajini
Pk
Kidene
Tatizo la Pk Mr Konki na Kidene nyimbo zao asilimia kubwa zinashawishi mambo ya ukabaji na uvunjifu wa amani.
Itafute chungu tamu kamshirikisha Chid BenzFongo naukubali - Tekenya Tekenya tekenya
na msingi kiuno - oya masela msingi kiuno.
Hapo tu ndo naelewana nae
Sent using Jamii Forums mobile app