Dungeon
Senior Member
- Feb 27, 2018
- 188
- 309
Ndio ni kweli hapo nakuunga mkono mkuuTatizo la Pk Mr Konki na Kidene nyimbo zao asilimia kubwa zinashawishi mambo ya ukabaji na uvunjifu wa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni kweli hapo nakuunga mkono mkuuTatizo la Pk Mr Konki na Kidene nyimbo zao asilimia kubwa zinashawishi mambo ya ukabaji na uvunjifu wa amani.
ntaitafuta soon
Na jiwe na mchezaji mzuri wa singeliNadhani waliokuwa wanabisha hili swala mmeona wwnyewe jana kwenye show ya jiwe
Hawezi kumzidi JiweSholo mwamba ni mtabe wa jukwaani hapa bongo kwa wasanii wa singeli
Magu ni mkali zaidi ya SholomwambaSholo mwamba ni mtabe wa jukwaani hapa bongo kwa wasanii wa singeli
Nisiwe muongo bwax n mkali kwanza kanifanya nipende singeli hatr
Hits
1: mzee wa bwax -kisulisuli
2:mzee wa bwax -kisimu changu
3:sholomwamba-anataka uma
4;dulla makabila-motoni kumedamshi
5:man fongo -hainaga ushemeji
Sent using Jamii Forums mobile app