Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
• Akili yake yeye anawaza mabikra 70, Aliohaidiwa kwenye kitabu cha mtume... 😀😀.... Ndo maana kila saa wanawaza kupaua misikiti tu....Wewe bwana mdogo nakufuatilia katika mijadala, unaonekana bado ni mweupe sana kichwani au bado Hujakomaa. Hayo yote unayoyataja hakuna muislam wala asiye muislam ambaye hayampati.
Lingine hakuna dhambi ambayo asiye muislam hafanyi lakini muislam anafanya na kinyume chake. Kuna makafiri wabaya, kuna waislam wabaya. Kuna makafiri wazuri na pia waislam wazuri. Suala la shida za dunia wote wako sawa.
Acha kuwa brain washed.
Wenzako tunafikiria namna ya kuifanya Afrika kuwa independent kutokana na external influences, wewe unatuletea ujinga ujinga hapa.
Hawa jamaa wana akili fupi sana, utakuta msikiti wanajenga kwa ajili ya dini yao, lakini utashangaa wapo mitaani wanaomba michango kwa makafiri kwa ajili ya ujezi wa msikiti.