kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Teh teh teh.Ujinga unaofanywa na hao unao wataja haufuti ujinga unaofanywa na timu mudi. Wote ni majanga tu.
Sasa sisi vijana wa madrasa kwa miaka zaidi ya 1400 kanuni zetu ziko vile vile. Uislam haukaliwi vikao ukabadilishwa au kuchakachuliwa km wenzetu wa Vatican.
Sasa kwa sababu unatuweka ktk kundi moja ni bora ungedadavua kipi vijana wa madrasa wanakifanya ambacho wewe babu mwenye elimu ya kata kinakukwaza.
Manake kelele sifa ya mlevi na chizi.
Weka hoja hapa tukusaidie .
majanga yapi sisi wavaa kobazi yanakupa shida? Manake isijekuwa una changamoto za uke wenza ukatupakazia sisi wote
Hebu tuanzia hapo.