THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Teh teh teh,naona makafiri mnapigana makonde wenyewe mmoja anasema Yesu MUNGU mwingine anasema Yesu ni Mzungu,patamu hapooo..!!Wewe ndiye uelimishwe.
Tafakari hii,
Kwa Jina la Baba,
Na la Mwana,
Na la Roho MTAKATIFU.
Jina la Baba ni nani?
Jina la Mwana ni nani?
Jina la Roho MTAKATIFU ni nani?
Jibu;
Jina La Roho MTAKATIFU ndiye Roho wa Yesu.
Jina la Mwana ndiye Yesu,
Jina la Baba ndiye huyo huyo aketiye kwenye KITI Cha enzi Mbinguni hata sasa.
Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Amen
Mimi ngoja Nile zangu popcorn za upako za mwamposa hapa,niwaenjoy...teh teh teh...
Eti maria mtakatifu mama wa Mungu tunaomba utuombee,nyieeeee.....!!!