Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Teh teh teh,naona makafiri mnapigana makonde wenyewe mmoja anasema Yesu MUNGU mwingine anasema Yesu ni Mzungu,patamu hapooo..!!

Mimi ngoja Nile zangu popcorn za upako za mwamposa hapa,niwaenjoy...teh teh teh...

Eti maria mtakatifu mama wa Mungu tunaomba utuombee,nyieeeee.....!!!
 
Yesu ndiye aliyemuumba Maria, kabla ya kuvaa mwili na Kuzaliwa, hawezi kuwa mama wa Mungu.

Huo ni uongo wa Rumi na papa.
 
Mungu ni Mmoja tuh,hajazaaa Wala hajazaliwa na hakuna nguchiro yoyote anaefanana nae,na katika ufalme wake Hana ushirika....

Yesu mnaesema mara ni mwana wa Mungu,mara ni Mungu Mkuu n.k...hana hizo sifa, that's why nakuambia toka lini mungu akaenda chooni kukata gogo?
 
Yesu ndiye aliyemuumba Maria, kabla ya kuvaa mwili na Kuzaliwa, hawezi kuwa mama wa Mungu.

Huo ni uongo wa Rumi na papa.
Weweeee.....!!teh teh teh....

Kwahiyo Yesu kamuumba maria mtakatifu mama wa Mungu,Kisha maria huyo huyo akaja Kumzaa Yesu au siyo??

Haleluyaaaah.... dadeekii....

Sasa kama Yesu ndie aliemuumba maria,na Yesu ndie.mungu Mkuu,Adam kaumbwa na nani,huyo huyo Yesu au??

Makafiri makafiri makafiri...tumieni japo akilii.
 

Nyie watu wa aunt mudi. Mudi alikufa mkataka afufuke mkamzika juu juu, nguruwe akapita naye. Teh teh tihii. Ndo kisa cha kumchukia kiti moto wa watu.
 
Nyie watu wa aunt mudi. Mudi alikufa mkataka afufuke mkamzika juu juu, nguruwe akapita naye. Teh teh tihii. Ndo kisa cha kumchukia kiti moto wa watu.
Shauri yako,stuka uondoke huko kwenye Giza,na kama hutaki mwisho wake ndiyo huu unaletewa sheria za kuwa msenge uolewe,hakuna dini hapo,ni biashara za watu hizooo....
 
Wewe ndio unekwama,

Unataka kutumia akili ya kuvukia barabara kumuelewa Mungu.

Sifa kuu ya Mungu ni uwezo wa kuwapo Mahali pote Kwa wakati mmoja.

Mbinguni alikuwepo, lakini wakati huo huo akavaa mwili wa mwanadamu,

Wakati huo huo ndiye anafanya KAZI zote na kuwepo kote kupitia Roho MTAKATIFU.

Mungu ni MMOJA, hagawanyiki, ila anaweza kuwepo pote at once.

Huyo ndiye Mungu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 

Sikiliza bwana mdogo, Yesu alikuwa mbinguni na alishiriki katika uumbaji wote unaouona na usiouona.
 
Shauri yako,stuka uondoke huko kwenye Giza,na kama hutaki mwisho wake ndiyo huu unaletewa sheria za kuwa msenge uolewe,hakuna dini hapo,ni biashara za watu hizooo....

Nyie endeleeni kuongea lugha msizozijua. Halafu mnazubaa tu. Wee dini gani ili ujiunge lazima ujifunze kiarabu, tukisema nyie ni misukule ya waarabu mtabisha.
 
Linganisha na
1. Kumbukumbu la Torati 6 : 5
2. Yohana 14 : 28.
3. Yohana 8 : 53, 54
Yohana 8 :53-58
Yesu mwenyewe anasema yeye yupo hata kabla ya ibrahim.
Kumbuka Musa alivyo ambiwa na Mungu jinsi atavyowajibu wa Israel kumhusu Mungu anaemuamini
"Mimi NIKO ambae NIKo". Kut 3:14

Vilevile soma
Yohana 20:27-29
Isaya7:14
Mika 5:2
Warumi9:5
 
Ni sahihi.Wasabato ni waislamu waliochangamka

Mfano wasabato hawaamini kuwa Yesu ni Mungu na waislamu nao huamini Yesu sio Mungu

Wasabato mwiko kula nguruwe na waisllamu pia mwiko kula nguruwe
Acha uongo wasabato wanaamini katika utatu mtaķatifu(MUNGU katika nafsi tatu) hawali nguruwe,kambale,ngamia....acheni mambo yenu ya kukopi na kupesti allah wenu ni baba wa uongo.
 
Yesu SI Mungu, makafiri wamevurugwa tuh,WEWE Mungu aende kukata gogo kweli?


Aaah makafiri kwanini hawatumii akili kufikiria??
Na yule mbakaji,mnyonya...oo yaani mnakuwa wafuasi wa mtuhumiwa?!![emoji45][emoji45]
 
Kati ya waislam na wakristo ni kina nani wanatoa misaada sana? Nazungumzia mtu mmoja mmoja kama alivyofanya huyo bwana kufuturisha watu
Hao waarabu wenu wanaofurisha watumwa wao mi ndugu yangu akienda kupanga foleni kusubiri tende nampa timbwili hata kama kasilimu.
 
Sio kweli neno kafiri ni neno la kiarabu lipo kabla ya uislam na maana yake ni mpingaji kwa kiswahili hiyo tafsri umeitoa kwa ajili ya ku satisfy your soul maana uongo jadi yenu.Mpingaji hupinga kilichotangulia,kati ya UKRISTO na uislam kipi kilianza ili tujue nani ni mpingaji(kwa hulka yenu ya upotoshaji utasikia uislam ulikuwepo kabla ya ukristo)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…