Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga


Asante sana Maalim wangu,

These people are Dumb,Deaf and Dull...

Kadiri wanavyozidi kuambiwa ukweli wao ndivyo wanavyozidi kukimbilia kwenye Giza, hakika makafiri wamekula khasara sana.
 
Allah mwenyewe ni mungu wa wakureshi.
 

Bado mkuu hujafanya utafiti. Biblia inatambua kuwa Mungu ni mmoja.
 
Asante sana Maalim wangu,

These people are Dumb,Deaf and Dull...

Kadiri wanavyozidi kuambiwa ukweli wao ndivyo wanavyozidi kukimbilia kwenye Giza, hakika makafiri wamekula khasara sana.
 
Bado mkuu hujafanya utafiti. Biblia inatambua kuwa Mungu ni mmoja.
Natamani sana iwe hivyo.
Na suala la MUNGU MMOJA Kuwemo ktk BIBLIA sikatai ila LIMECHANGANYWA NA miungu wengine wa kuongezewa.
MFANO.
Hakuna ktn BIBLIA sehemu yyt Yesu alifundisha UTATU MTAKATIFU.
HAKUNA sehemu yyt wanafunzi wa Yesu walimuita MUNGU au kumuabudu.
Tatizo kubwa ni PAULO.
Paulo kaivurugq kabisa andiko halisi la Mungu.
 
Kwa mujibu wa imani katoliki jana ndio nimejua kuwa wasabato sio wakristu
 
Reactions: 511
Hukatazwi kuamini chochote.
Wao waendelee kuamini wanachokiamini ila ukweli lazima tuwaambie makafiri kuwa mko kwenye upotofu wa Hali ya juu sana.

Eti utaskia oooh maria mtakatifu mama wa Mungu, tunaomba utuombee...unajua makafiri hamnazo sana,yaani hapo wanajua Kwa maria ndie mama wa Mungu,na mtoto kwa mama hapindui,basi kama vipi mama ongea na mwanao basi atusamehe zambi zetu mama,yaani wanataka kujifanya wanaleta ujanja ujanja Kwa Mungu wao, Hatari sana hawa makafiri....
 
Biblia ilishatabiri kuhusu manabii wa uongo. Wale wanaoisoma biblia na kuielewa ndiyo ambao hawababaiki na lolote.
Sasa kama biblia ilishatabiri kuwa watakuja manabii wa uongo,kwani makafiri wasiaambie makafiri wenzao kuwa hawa ndie manabii wa uongo na badala yake wanawalilia wawaokoe?
 
Watu 100 lakini picha ina mikono ya watu 3 tu.Tena inaonekana ni ndugu wa familia moja
Mzee wa kanisa aseme alitayarisha mwenyewe na familia yake hicho chakula au alikodi wapishi kwani hapo naona kuna mikate ya kilebnan na vyakula tofauti ambavyo nadhani mzee havijui kuvipika.
Hiyo mikate huwa naipenda sana kwa mchuzi wa nyama
 

Biblia imenyooka. Hakuna uongo wala. uchakachuzi. Hayo yote uliyoyataja hayamo. Hata ile sikukuu pendwa duniani nayo huwezi kuiona kwenye biblia. Hivyo inahitajika hekima na utambuzi kujua hayo.
 
Makafiri wenye akili ya kutambua Haki mi wachache sana, wengi wao ndiyo hawa wanaopigwa Hela kifala na watu kama mwamposa, Gwajima na kadhalika,na hata hao wanaoonekana kuwa na uelewa Papa keshawataitisha kwenye ndoa za mashoga,ukweli utabaki kuwa ukweli,na upotofu utabaki kuwa upotofu.
 
 
 
Sasa kama biblia ilishatabiri kuwa watakuja manabii wa uongo,kwani makafiri wasiaambie makafiri wenzao kuwa hawa ndie manabii wa uongo na badala yake wanawalilia wawaokoe?

Mkuu inahitaji utambuzi na hekima. Hebu ona mtu anakuja anawaambia mfunge kuto kula mpaka mkufe. Halafu watu wanakubali wakati kufunga ni ibada ya faragha pia huelekezwi na mtu.
Lingine yee anayesema mfunge hafungi.
 
Ni sahihi.Wasabato ni waislamu waliochangamka

Mfano wasabato hawaamini kuwa Yesu ni Mungu na waislamu nao huamini Yesu sio Mungu

Wasabato mwiko kula nguruwe na waisllamu pia mwiko kula nguruwe
Mfano wasabato hawaamini kuwa Yesu ni Mungu "Umekurupuka kajifunze nao tena"
 
Biblia imenyooka. Hakuna uongo wala. uchakachuzi. Hayo yote uliyoyataja hayamo. Hata ile sikukuu pendwa dunia nayo huwezi kuiona kwenye biblia. Hivyo inahitajika hekima na utambuzi kujua hayo.
Biblia imenyooka wapi?kitabu Gani Cha Mungu kina versions?

Mara Agana jipya,mara agano la kale,mnachofanya siku zote ni kukifanyia modifications kitabu chenu ili kiweze eti kwenda na wakati, that's why hata Sasa mmepewa ruksa ya kufunga ndoa midume Kwa midume mpigane mashine,Kuna kitabu Gani hapo Sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…