JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Naona unaruka ruka TU . Eti Myahudi!? Myahudi Gani anayeamini katika Mtume Muhammad S.A.W!? Acha kuwaletea shobo wayahudi. Vipi Wahindu, nao ni makafiri!? Wachina!?Ukafiri sio matusi bali ni sifa.
Neno "KAFIR" limetoka kwenye lugha ya kiarabu. Kiswahili maana yake ni "Yyt mwenye kumshirikisha Mungu na kitu flani".
Yaani ukiwa na imani kuwa Mungu Ana mshirika mwingine ktk uungu wake . Mfano Mwana na Roho Mtakatifu hapo unakuwa na Sifa ya UKAFIRI.
Kwa maana hio yyt anaeamini kuwa MUNGU NI MMOJA TU. hana Mshirika yyt wala mshauri ktk UUNGU WAKE huo sio kafiri.
Mfano wayahudi na Waislamu.
Hawa wote wanaamini MUNGU MMOJA TU. na Yesu ni mtume na mjumbe wa Mungu na ni binaadamu aloezaliwa kwa miujiza ya Mungu.
Lkn SIO MUNGU WALA MWANA WA MUNGU WALA hana ushirika wwt na MUNGU zaidi ya yeye YESU kuwa MTUMISHI na MTUMWA WA MUNGU.
Una gubu sana na Wakristo, kwani wao peke yao ndio hawaamini katika huyo unayemuita Allah!? Eti Baba ,mwana na Roho mTakatifu, hiyo ni Imani yao, mbona hutaki kuelewa!? Unataka waifate ya kwako!? Punguzeni ujinga Aisee!