Mzee wa kichaga kakataa zawadi ya spacio akidai ni magari ya wendawazimu,

Mzee wa kichaga kakataa zawadi ya spacio akidai ni magari ya wendawazimu,

Upo hu
binadamu tukiwa na nafasi tunakua na majivuno sana, wema sepetu alishawahi kumponda diamond eti kamnunulia murano

kuna kipindi alipost eti kajaribu kutembea dar na hili joto akahoji hivi mnaotembea kwa miguu hapa dar mna tofauti gani na ngombe

haikupita miaka 7 naona watu wanamchangia apate gari la kutembelea...
ko mzee!
 
Kama huyo Mzee ni Mchaga kweli, akipewa Hilux double cabin 2700 za zamani asingechomoa. Wachaga na Hilux wana maagano. 😁
Kuna dingi mmoja ni Mangi yeye ana ma V8, ila anakwambia gari ni Hilux na Land Cruiser 1Hz. 😁
 
Ndio imeshatokea

Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu,
Kuna wazee hawana adabu kabisa ,

Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama chombo cha usafiri?

Tuwe tunaangalia zawadi za kuwapa wazee waliojipatia pesa muda mrefu na ujana wao waliutumia vizuri kupambana na maisha yao,

Sijui mtoa zawadi ana Hali gani hadi muda huu?
Ukitaka kumfurahisha mzee wa kichagga mpe gari kama hii.

1735495196892.png
 
Back
Top Bottom