Mzee wa kichaga kakataa zawadi ya spacio akidai ni magari ya wendawazimu,

Ila kwa ukweli wa moyo wangu... Shepu za Spacio, IST, Funcargo Raum. Kwangu hapana sijawahi panda hizo gari.. Nikikutana nalo njiani kuna hali inanikuta nahisi nimekutana na mnyama mwenye umbo la gari..
 
Ndio imeshatokea

Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu,
Kuna wazee hawana adabu kabisa ,

Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama chombo cha usafiri?

Tuwe tunaangalia zawadi za kuwapa wazee waliojipatia pesa muda mrefu na ujana wao waliutumia vizuri kupambana na maisha yao,

Sijui mtoa zawadi ana Hali gani hadi muda huu?
Inawezekana kwa umri wake gari sio kitu cha muhimu kabisaae na kumbuka lazima gari litahitaji matunzo ya kutosha ,hivo Mzee anaweza kuwa sahihi kabisa kwa upande wangu
 
Ndio imeshatokea

Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu,
Kuna wazee hawana adabu kabisa ,

Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama chombo cha usafiri?

Tuwe tunaangalia zawadi za kuwapa wazee waliojipatia pesa muda mrefu na ujana wao waliutumia vizuri kupambana na maisha yao,

Sijui mtoa zawadi ana Hali gani hadi muda huu?
Umetuwekea heading ili tukujengee contents zake.

Weka facts na evidence
 
'' MZEE WA KICHAGA WAKATI MWINGINE NI BORA UMPATIE NDAFU KULIKO HATA IKARI "
 
Halafu jitu linakuja na spacio lake halafu linabwabwaja Rachel nakupenda" .

Mfyuuuuuuu
Weee watu wanakunjwa kwenye Vitz Yaris. Na qanafurahia kufikishwa kwao na huo usafiri. Kwahiyo bora ukangongwe na Boda.
Nimesema Ugongwe. Usitafasri kivyako
 
Hadi mtu ananunu spacio nk inafikirisha sana , sababu kama ni space ya ndani zipo gari ambazo Zina space nzuri zaidi ya spacio mfano tu alphard humo unabeba familia , kama ni mafuta zipo gari nyingi sana ambazo energy consumption yake ni nzuri tu , kama ni spare aisee spare tumejaza madukan sasa unahesabu pesa unanuna spacio tukisema wewe ni fala mnasema tuna dharau
 
Njombe wanadharau sana nlikuta mtu anauzia matunda kakunja siti kamwaga mananasi kwenye toyota vangad? Halafu kipindi hicho namba D ndio mpya mpya aisee!
Sio dharau mzee, sasa mtu nimevuna viazi ,kauza msitu Nina pesa ya kutosha mfukoni unataka nikanune ist gari ukikanyaga kokoto unajisikia mwilini kuwa umegonga,gari ikigonga mbwa inabonyea
 
Ndio imeshatokea

Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu,
Kuna wazee hawana adabu kabisa ,

Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama chombo cha usafiri?

Tuwe tunaangalia zawadi za kuwapa wazee waliojipatia pesa muda mrefu na ujana wao waliutumia vizuri kupambana na maisha yao,

Sijui mtoa zawadi ana Hali gani hadi muda huu?
Picha
 
Ila kwa ukweli wa moyo wangu... Shepu za Spacio, IST, Funcargo Raum. Kwangu hapana sijawahi panda hizo gari.. Nikikutana nalo njiani kuna hali inanikuta nahisi nimekutana na mnyama mwenye umbo la gari..
Kazi ya gari ni kukutoa point A na kukupeleka point B kwa haraka. Haya ya mwonekano wa nje ni tatizo la saikolojia tu mkuu.
 
Ila kwa ukweli wa moyo wangu... Shepu za Spacio, IST, Funcargo Raum. Kwangu hapana sijawahi panda hizo gari.. Nikikutana nalo njiani kuna hali inanikuta nahisi nimekutana na mnyama mwenye umbo la gari..
Hii comment nimecheka sana.. mnyama mwenye umbo la gari.

Watu wanavimba nazo hizo mkuu na pissi kali zinawaelewa kwelikweli.
 
Back
Top Bottom