Mzee wa kichaga kakataa zawadi ya spacio akidai ni magari ya wendawazimu,

Huyo ni mzee wa hovyo kabisa na hana busara atakuwa genz
 
Ha ha ha!
Huyo mzee Assey ni mjinga wa wajinga.
Mtu huchagui zawadi toka moyoni.
Mtoa zawadi hana matatizo na sasa anajua tatizo katika familia ya mke wake iko wapi.

Mimi iliwahi nitokea, mkwe(wa mbali kidogo), nilimpelekea zawadi akaishia kunikandia kuwa nisimpekee vizawadi duni na kwamba kwanza nakopa kwa wakwe, kitu ambacho sijawahinkufanya katu.
Nilipomuuliza mke wangu naye alishangaa!
Mimi sikusema neno, nikaaga na huo ukawa mwisho wa kwenda ukweni, hadi baada ya miaka 5 mama mkwe kuomba radhi kwa maneno ya baba mkwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…