Kwa hiyo tusiogope kufa na tuendelee kuusambaza na kuwaambukiza ndugu zako?Kwani kuna atakaye ishi milele jamani, kufa ni moja ya maisha, kwanini watu wanaogopa kufa wakati ndio part ya maisha ?
Ebana daah!!!! Hadi nimeshindwa kushangaa aseeMkuu kule aliye -ve ni kama ameshinda bahati nasibu ya taifa
Aiseee kumbe wewe ndo jinga sanaaaa !! Na ujinga wako umejidhihitisha ktk hili Andiko lako ,, ninani anakuambia Mapambano dhidi ya ukimwi mpaka uyaone kwa mabango ?????.Wewe jinga sikiliza, mimi siandiki hapa vitu vya kusoma mitandaoni kama wewe, nimeishi first world, ni nani aliyekudanganya mamtoni bado watu wanawaza mambo ya ukimwi?
Umefika ulaya wewe? Niambie ulaya gani kuna mabango ya kupambana na ukimwi au kutumia condom?
Kati ya ukimwi na Maralia, Maralia ndio ugonjwa hatari zaidi ya ukimwi, ila kwa popoma kama wewe huwezi kulijuwa hili lipo juu ya uwezo wako wa kuchanganuwa mambo.
Nmekumisimo mwadela !!.Niambie kitu gani,,kisemeee
Ukijua hili ni jukwaa lipi povu haliruhusiwi kabisaAjabu ipi, kuumwa ni dhambi?, hujawhi kuugua?, au kuuguza?, na kuugua sio kufa, pengine unalako jambo kuhusu huyu jamaa
Binadamu wamefanyaje etiKama hii habari ni kweli, basi binadamu tuna roho mbaya sana
Sasa ndio mambo gani hayo kumpa mwenzio upupu makusudiBinadamu wamefanyaje eti
Umenichekesha ulivyo jidanganya.....halafu wengi hudhani wana jf wote ni wafatiliaji wa mambo.....hata ili la Ukimwi bado umebaki kujidanganya? Kuupata ukimwi hakuhitaji shughuli kubwa zaidi ya kuingiza uume kwenye uke maana kati ya maji yanaoyo beba virusi vya ukimwi ni maji maji ya uke na pia ncha ya Uume upitisha virusi... Hivyo kitendo cha kuingiza tuu kama ana virusi basi tayari.Huu ugonjwa mpaka uupate lazima ufanye shughuli ya kueleweka. Mm nishagusa sehwm mbili hatari na baadae nikaja kugundua walikuwa tauari wanao. Ila nimepima zaidi ya mara kumi nipo fresh. Na mara ya mwishi nlipima apollo hospital bangarole
Hakuna ambae angepona basi,wote ingekua virusiUmenichekesha ulivyo jidanganya.....halafu wengi hudhani wana jf wote ni wafatiliaji wa mambo.....hata ili la Ukimwi bado umebaki kujidanganya? Kuupata ukimwi hakuhitaji shughuli kubwa zaidi ya kuingiza uume kwenye uke maana kati ya maji yanaoyo beba virusi vya ukimwi ni maji maji ya uke na pia ncha ya Uume upitisha virusi... Hivyo kitendo cha kuingiza tuu kama ana virusi basi tayari.
Kutokana na takwimu za mwaka jana kutoka ofisi ya taifa ya takwimu Malaria bado ni tishio kuliko ukimwi na pia kuna homa ya Ini ni hatari sana....Na Botswana ee hawaogopi kabisa HIV ,,hakuna ugonjwa mbaya kama kisukari ni hatare
Maralia ikikumata fasta tu unaweza sepa,kansa ndio usiseme sukari inammaliza bibi yangu lo
Hata yakiwa majimaji yana ukimwi mdudu wa ukimwi haingii kwenye vinyweeo, hata jasho basi lingeambukiza. Ila mpaka usex upate mchubuko. Kama wewe huwa unabaka wanawake basi upo hatarini. Ila mm naweza kusex na mwathirika na nikatoka salama.. Kumbuka kuna wananndoa unakuta mwanamke ana ngoma mume mzima wanasex vizuri tu na mke anabeba mimba na kuzaa hata mara nne ila mwanaume anabakia kuwa mzima. So kabla ya ku urge jaribu kufikiria. Halafu nifundishe jinsi ya kubold, na kubadili rangiUmenichekesha ulivyo jidanganya.....halafu wengi hudhani wana jf wote ni wafatiliaji wa mambo.....hata ili la Ukimwi bado umebaki kujidanganya? Kuupata ukimwi hakuhitaji shughuli kubwa zaidi ya kuingiza uume kwenye uke maana kati ya maji yanaoyo beba virusi vya ukimwi ni maji maji ya uke na pia ncha ya Uume upitisha virusi... Hivyo kitendo cha kuingiza tuu kama ana virusi basi tayari.
Sijui huwa wana mana gani halaf Steve ni mtu mkubwa sana ila pole yake mno Mungu azidi kumponyaWatu hukoment kwa mihemuko
Hataki kufa peke yakeSasa ndio mambo gani hayo kumpa mwenzio upupu makusudi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ingekuwa kulipwa hakika nami nisingekosekana jf,,uzi hauna hata masaa 4 umefikisha 1k
Jamani muwe mnakoment tu lo
Hiyo ndiyo roho mbaya yenyewe sasa[emoji23]Hataki kufa peke yake