Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Kwani kuna atakaye ishi milele jamani, kufa ni moja ya maisha, kwanini watu wanaogopa kufa wakati ndio part ya maisha ?
Kwa hiyo tusiogope kufa na tuendelee kuusambaza na kuwaambukiza ndugu zako?
Ni unafiki kusema uogopi kufa.....
 
Wewe jinga sikiliza, mimi siandiki hapa vitu vya kusoma mitandaoni kama wewe, nimeishi first world, ni nani aliyekudanganya mamtoni bado watu wanawaza mambo ya ukimwi?

Umefika ulaya wewe? Niambie ulaya gani kuna mabango ya kupambana na ukimwi au kutumia condom?

Kati ya ukimwi na Maralia, Maralia ndio ugonjwa hatari zaidi ya ukimwi, ila kwa popoma kama wewe huwezi kulijuwa hili lipo juu ya uwezo wako wa kuchanganuwa mambo.
Aiseee kumbe wewe ndo jinga sanaaaa !! Na ujinga wako umejidhihitisha ktk hili Andiko lako ,, ninani anakuambia Mapambano dhidi ya ukimwi mpaka uyaone kwa mabango ?????.
Mabango anawekea mwafrika ambaye ni mwingi wakusahau na anayeitaji kukumbushw kila Mara !!.

Watu mapambano ya Ukimwi yapo vichwani mwao ,, watu wanazaliwa wananfundishwa A-Z ,, Serikali zinapigana kuhakikisha Hii kitu inapungua !!...

Kwaiyo ulitaka mpaka uone bango ndo ujue marekan sasa hapa ndo wanapambana na HIV ??. mpaka uone bango ndo ujue yes hapa niuingereza na wanapambana na Ukimwi ??
Kwataarifa yako ,,Mzungu kutaja neno HIV nikm aibu kwao ,na nikm kitendo kinachoondoa ustahaarabu wao.

Alafu nmegundua unaweza kubwa Likubwaaaaaa kiumri na umbo LAKINI Akili sifuriiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] jingaaaaaa
 
Huu ugonjwa mpaka uupate lazima ufanye shughuli ya kueleweka. Mm nishagusa sehwm mbili hatari na baadae nikaja kugundua walikuwa tauari wanao. Ila nimepima zaidi ya mara kumi nipo fresh. Na mara ya mwishi nlipima apollo hospital bangarole
Umenichekesha ulivyo jidanganya.....halafu wengi hudhani wana jf wote ni wafatiliaji wa mambo.....hata ili la Ukimwi bado umebaki kujidanganya? Kuupata ukimwi hakuhitaji shughuli kubwa zaidi ya kuingiza uume kwenye uke maana kati ya maji yanaoyo beba virusi vya ukimwi ni maji maji ya uke na pia ncha ya Uume upitisha virusi... Hivyo kitendo cha kuingiza tuu kama ana virusi basi tayari.
 
Ingekuwa kulipwa hakika nami nisingekosekana jf,,uzi hauna hata masaa 4 umefikisha 1k
Jamani muwe mnakoment tu lo
 
Umenichekesha ulivyo jidanganya.....halafu wengi hudhani wana jf wote ni wafatiliaji wa mambo.....hata ili la Ukimwi bado umebaki kujidanganya? Kuupata ukimwi hakuhitaji shughuli kubwa zaidi ya kuingiza uume kwenye uke maana kati ya maji yanaoyo beba virusi vya ukimwi ni maji maji ya uke na pia ncha ya Uume upitisha virusi... Hivyo kitendo cha kuingiza tuu kama ana virusi basi tayari.
Hakuna ambae angepona basi,wote ingekua virusi
 
Na Botswana ee hawaogopi kabisa HIV ,,hakuna ugonjwa mbaya kama kisukari ni hatare
Maralia ikikumata fasta tu unaweza sepa,kansa ndio usiseme sukari inammaliza bibi yangu lo
Kutokana na takwimu za mwaka jana kutoka ofisi ya taifa ya takwimu Malaria bado ni tishio kuliko ukimwi na pia kuna homa ya Ini ni hatari sana....
Lakini hii haidoi ukweli kuwa Ukimwi ni ugonjwa hatari sana na ndio hauna chanjo wala kinga kwa sasa.....
 
Umenichekesha ulivyo jidanganya.....halafu wengi hudhani wana jf wote ni wafatiliaji wa mambo.....hata ili la Ukimwi bado umebaki kujidanganya? Kuupata ukimwi hakuhitaji shughuli kubwa zaidi ya kuingiza uume kwenye uke maana kati ya maji yanaoyo beba virusi vya ukimwi ni maji maji ya uke na pia ncha ya Uume upitisha virusi... Hivyo kitendo cha kuingiza tuu kama ana virusi basi tayari.
Hata yakiwa majimaji yana ukimwi mdudu wa ukimwi haingii kwenye vinyweeo, hata jasho basi lingeambukiza. Ila mpaka usex upate mchubuko. Kama wewe huwa unabaka wanawake basi upo hatarini. Ila mm naweza kusex na mwathirika na nikatoka salama.. Kumbuka kuna wananndoa unakuta mwanamke ana ngoma mume mzima wanasex vizuri tu na mke anabeba mimba na kuzaa hata mara nne ila mwanaume anabakia kuwa mzima. So kabla ya ku urge jaribu kufikiria. Halafu nifundishe jinsi ya kubold, na kubadili rangi
 
Magu inabidi amwite Ikulu pamoja na Babu Seya akaongee nao.
 
Nakutakia followers wengi katika account unayoipromote.
 
Back
Top Bottom